Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.
Tumaini Asenga,
Kwa bahati mbaya hakuna alama za quotation. Hivyo sina hakika Kama hayo mane no ni ya kwako au ya Prof. Kama kweli ni ya Prof, sina hakika Kama kweli awesome posting yangu. Kama kweli kasoma, sina hakika ni Prof. Wa nini kwani kauli yangu haihitaji tafsiri, iko wazi. Kama Ni kweli ni maneno ya Prof. Na Kama ndiye alikuwa mwalimu wa Mwigulu, bass tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhani. Tumaini thibitisha Kama kauli hiyo ni ya Prof.
Mzee sasa huo uzee mbona haukusaidii sana ziko wapi busara za kiutu uzima.

umekosa kabisa staha mbele ya jamii wewe unadhani kila kitu ni kukashifu tu,

Ungekuwa unapokea ushauri tungeweza kukushauri lakini kwa vile unajifanya we mdogo wake na yesu na huwezi kupokea ushauri wa mtu endelea na balaa lako.

zito amekuwa kama mkimbizi ndani ya chadema kwa ajili yako unavyomwandama kwakuhofia uwezo wake alionao pengine ataweza kuchukua nafasi yako.
 
Join Date : 13th July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given0
 
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa,
swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

KWA ZAIDI TEMBELEA WWW.JKWETU.BLOGSPOT.COM

Kwani ni wapi ambapo Slaa ameitaja UDSM kwa jina? Kwani kuna "Chuo Kikuu" kimoja tu?
 
achaneni na huyo jamaa mi namjua siyo prof wala nini anasomba maji kwa mkokoteni hapa kijijini kwetu kagu.
 
Ni uchwara kweli mi ninamfahamu,huyu assenga ni kanjanja wa jk na ccm,hamazo kweli,yule dhaifu amefanyia nn nchi yetu hadi akina kagame,mama wa malawi,museveni,kenyatta wameshamuona ni janga la taifa,slaa ni rais ajaye aliye mioyoni ,wetu,hata mfanye vp!pumba zitabaki pumba na mchele utabaki mchele
 
....prof anakumbuka shuka wakati kushakuchaaaa.....MA-PROF walisomeshwa kwa rasilimali za nchi miaka ya 1970 - 1990....out of 100 only 20% ndio wamejaribu kurudishia jamiiii maendeleo kwa kujenga sera zenye tija....walobaki namashaka nao
 
mwigulu na first class yake imekusaidia nn zaidi ya uuaji na uchonganishi,anyway fuata buku 7 zako kwani upo kazin
 
Dr Slaa kupenda madaraka amekuweka mbele wakati uwezo wake ni wa kiwango cha chini mno. Kiongozi kama slaa hawezi kuisema taasisi kubwa kama Udsm eti inatoa wasomi wabovu. Angeangalia jinsi uwezo wake ulivyo asingethubutu kuiponda Udsm.
 
Duh huyu Lweikisa naye ni Professor?Kweli elimu ya Chuo Kikuu Mlimani inaelekea mtaloni!!?Mimi nilifikiri ni makanjanja wa siasa wa CCM ndio hawakumuelewa Dr Slaa maana uwezo wao wa kufikiri na kuchambua mambo unaeleweka,Hata wewe Professor?
 
Dr slaa anatakiwa aelewe kuwa bila UDSM chadema isingekuwepo hapo ilipo!!tumeandamana sana sisi kuakashifu serikali leo hii tunaonekana elimu yetu ni zero!!arudishe kauli tafadhali!!
 
"Kuelewa kuwa Kauli zako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".



Whats wrong with the above statement ????????
Unless Huyo Proff Hajui Matumizi ya Unless, Nina Mashaka na Integrity ya Huyo Proffessor, Wengi tumepitia UDSM Bana...
 
....prof anakumbuka shuka wakati kushakuchaaaa.....MA-PROF walisomeshwa kwa rasilimali za nchi miaka ya 1970 - 1990....out of 100 only 20% ndio wamejaribu kurudishia jamiiii maendeleo kwa kujenga sera zenye tija....walobaki namashaka nao

beelive me haiwezi fika iyo 20%,ni chini ya 2% wameonyesha kaunafuu.
 
Dr Slaa kupenda madaraka amekuweka mbele wakati uwezo wake ni wa kiwango cha chini mno. Kiongozi kama slaa hawezi kuisema taasisi kubwa kama Udsm eti inatoa wasomi wabovu. Angeangalia jinsi uwezo wake ulivyo asingethubutu kuiponda Udsm.

Kumbuka Kinana na Masters zake alimkimbia ,Usimsahau Mbayuwayu pia alikula kona kwenye mdahalo na Dr Slaa.Hivi wewe ndio yule mzee wa Panya?Sasa Panya walikukosea nini kijana mwenzangu mpaka uwaingize katika orodha ya maangamizi.Byeeeee!
 
Nilikuwa nawasikitikia sana walikokuwa wakipuuzia au kutojaribu kwa dhati kuielewa topic ya LOGICS.
 
profesa gani huo? mbona hujambulisha anafundisha shule gani??? is it law, political science, sociology or wat?? isije kuwa ndo wale msprof wenu wa design ya majimarefu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom