Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa,
swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

KWA ZAIDI TEMBELEA WWW.JKWETU.BLOGSPOT.COM

==Majibu ya Dr. Slaa====
Dr.W.Slaa said:
wanaJF,
Jitihada za Mwigulu kuhusianisha Red Brigade
ya CHADEMA na Brigate Rosse ( neno la ki
Italiano. Lenye maana ya Red Bigades) ni
propaganda ya Kipuuzi. Red Brigade ( inaitwa
brigedi Nyenyekundu) ya CHADEMA, ambayo
ipo kwa mujibu wa Katiba ya Chadema na
Kanuni zetu. Fasili na Ufafanuzi wa Brigedi
Nyekundu ni "..Chombo cha ulinzi na usalama
wa mali na maslahi ya Chama na
viongozi"( Rejea Kanuni za Uendeshaji Kazi za
Chama... kif. B " Fasili na Ufafanuzi". Wajibu
wa kujilinda ni wa kila mtu na chama nacho
kina wajibu wa kulinda Mali zake, wanachama
wake na viongozi wake.
Aidha Mwigulu anazungumzia "Brigate Rosse".
Ni dhahiri Mwigulu anafanya siasa ya maji
Taka. Kwanza ni vema Mwigulu wajulishe
wasomaji Kama neno hilo Lina maana ile ile
ya "Red Brigade", na je Red Brigade ya
CHADEMA in a fasili na Tafsiri ile ile ya
CHADEMA? Kama ndivyo atuwekee Katiba ya
Brigate Rosse hadharani ili wanaJF na GT wote
wafanye uchambuzi wa kina na kuona Kama
anachosema Mwigulu ni sahihi au ni
Propaganda tu!
Ni kweli Dr. Slaa nimesoma Roma Italia toka
1979 hadi 1981. Hivyo siyo tu ninajua na
kuzungumza Kiitalia, lakini pia ninafahamu
Brigate Rosse ya Italia kwa kuwa miaka hiyo
ndio kipindi kulikuwa na umafia na uhalifu
mkubwa na kulikuwa na kesi denying dhidi ya
Mafia. Katika Masomo yangu ya Sheria,kesi
hizo Mara nyingi zimekuwa rejea ya
Maprofesa. Hivyo ninaijua si kwa kuwa
nimeishi katika utamaduni wa Italia wa wakati
huo.
Hata hivyo, Ndio maana sikuzote, Sina sababu
ya kujibu upuuzi wa Mwigulu. serikali iliyoko
madarakani ni ya CCM. Kama ni kweli
anayosema Mwigulu na anayaamini,
Anashangaza sana. Dr. slas nimemaliza
masomo yangu mwaka 1981. Tangu wakati
huo sijarudi Roma isipokuwa kipindi
nilipokuwa Katibu Mkuu wa TEC. Sasa
Mwigulu anataka kusema TEC nayo ilikuwa
inanzisha Brigate Rosse kwa kuwa Kama
Katibu wajibu wangu ulikuwa kuunganisha
Baraza letu na Nchi zingine duniani.kauli ya
Mwigulu,unaweza kutolewa tu na mtoto wa
darasa la pili.
Aidha, Kama Anachosema Mwigulu ni kweli
anapaswa kukamatwa,kwani Kama Raia
Mwema, toka mwaka 1981 Mwigulu alikuwa
na Taarifa ya mtu aliyejifunza mbinu za Brigate
Rosse, ambazo ni makundi ya uhalifu na
Umafia na Mwigulu amekaa na Taarifa hizo za
kihalifu na kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za
nchi yetu, mwenye kukaa na Taarifu za uhalifu
na yeye ni mhalifu. Anapaswa akamatwe kwa
ushiriki wake kwenye uhalifu huo. Katika Hali
ya kawaida sina hakika Kama Mwigulu aliwahi
kujifunza kitu kinachoitwa logic katika maisha
yake. Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga
huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa,
unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa
Degree ni hovyo kiasi hicho. Kwa maana
nyingine, Kama kweli Mwigulu ni Naibu Katibu
Mkuu, Serikali aliyoko ni hiyo hiyo ya CCM
toka miaka 1977, maana yake ni kuwa Serikali
hiyo ambayo inamjua mhalifu muda wote
toka 1981, inaibuka Leo na kauli tata hivi,
wakati Katiba ya CHADEMA ipo kwa Msajili
toka mwaka 2006 basi wakubali Serikali ya
CCM imeshindwa kuongoza na ilipaswa
kujiuzulu siku nyingi sana.
Nadhani nimejieleza ya kutosha. Nawaomba
wasomaji wetu wapuuze upuuzi huu wa
Mwigulu nchemba.
 
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa,
swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

KWA ZAIDI TEMBELEA WWW.JKWETU.BLOGSPOT.COM

Huyu prof anafundisha taarab udsm
 
Prof uchwara katoka wapi maana agenda kafika mpaka kwa zitto na Dr slaa yeye yanamhusu nn? Namashaka na chuo anachofundisha

Soma vizuri maelezo ya Prof acha kukurupuka... kwani kuwa chadema ni lazima uwe zuzu?
 
Watani zangu Wahaya wanapenda sana kusoma na kujisifia, lkn amini nakuambia, ukimkuta Muhaya mjinga, basi huwa ni mjinga KWELI KWELI.

Mwambieni huyo KILAZA, anayepaswa kuomba radhi ni shoga yake Mwigulu na sio Dr.Slaa aliyesema ukweli. Na kwa hali hii, sioni kama kuna yeyote mwenye haja ya kufanya hivyo kwani kama hicho chuo kina Maprofesa wa namna yake, basi kweli Mwigulu hana makosa
 
Mbona viongozi wa chadema wanaandamwa sana?

"To know the enemy is half the victory"
 
Prof uchwara katoka wapi maana agenda kafika mpaka kwa zitto na Dr slaa yeye yanamhusu nn? Namashaka na chuo anachofundisha

Huyo ni profesa kama alivyo maji marefu.Sijui ni zuzu wa wapi huyo.Sidhani kama alisoma maelezo kabla ya kukurupuka
 
UDSM eti ni chuo bora-Mwigulu ni product ya UDSM-Mwigulu ni bora.

Prof anatoa comments za kijinga-Prof ni wa UDSm-
UDSM ina Profs wajinga.

This is illogical.

Ndo maana Dr slaa amesema comments za Mwigulu ni illogical.
 
Kwani first class ndio kuwa na uwezo wa kupambanua mambo? Na kuwa kila aliyetoka udsm ni kifaa? Huyo huyo mwigulu mbona hana uwezo wa kupambana kihoja na mimi?
 
unajua kusoma kwa makinini? unless ni nini?

DR alikuwa clear tuu acha kupotosha
unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho.

Lugha hiyo baba, ingeandikwa kutokea kulia kwenda kushoto wala asinge jichanganya kichwa kichwa. Ngoja nimsaidie, Mkuu Ritz UNLESS = ما لم
 
Last edited by a moderator:
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa,
swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

KWA ZAIDI TEMBELEA WWW.JKWETU.BLOGSPOT.COM

Mkuu babu slaa hata degree moja.hana ana certificate tatu za sheria ya dini ndo anajiita dr.
majanga
 
na asipoomba chuo kimshitaki maana huwezi kuchafua image ya chuo chenye heshima kama Udsm halafu ukaachwa hivihivi

Mbona hata FIRST CLASS ZA CHUPI ni nyingi tu na maisha yanaendelea. Nina mashaka na chuo alichosoma na anachofundisha huyo ' Prof'. Kwani sitarajii prof makini baada ya kusoma comments za Dr. Slaa anaweza kutoa maoni yoyote labda naye awe punguani wa logic.
 
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa,
swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

KWA ZAIDI TEMBELEA WWW.JKWETU.BLOGSPOT.COM

Wengi wetu tumesoma chuo hicho pia usitake kupotosha Mwigulu kama alipata first class ni first class ya bahati mbaya au alikuwa bingwa wa kudesa! Hana pont to deserve first class ya ukweli! He is not analytical kiEnglish chake ni kioja! Aliipataje hiyo first class?
 
Huyu Prof. Labda ni mkufunzi wa green guard bila shaka, anaongea utumbo plus mayai vinza..ptuuuuuuuuuu
 
Mkuu babu slaa hata degree moja.hana ana certificate tatu za sheria ya dini ndo anajiita dr.
majanga

Wewe nawe ndio kiazi kabisa, degree yako ya chupingi labda hujioni alafu eti unaenda kanisani kutoa sadaka ya shukrani, Askofu Kulola akikujua wewe nadhan atakupa hata laana ya kulinajisi kanisa lake la EAGT.
 
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa,
swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

KWA ZAIDI TEMBELEA WWW.JKWETU.BLOGSPOT.COM

..Prof gani huyu....awa ma Prof wa kibongo wanaacha kazi za taaluma zao na kujiingiza kwenye siasa za maji taka....asije akawa kama huyu hapa...Raia Mwema - Profesa wa Kikwete matatani Marekani...

....Maana wanahaingikia mambo madooogo....ambayo yanazidhalilisha hata taaluma zao....
 
Kulinganisha ubora wa chuo ulichosoma na ubora wa akili yako ni vitu viwili tofauti.kwa hyo kwa kusema udsm ni chuo bora, ndio nakubali lakin kusema wanachuo wote wa udsm n bora sikubali.kwa hyo unaweza kusoma udsm na usiwe mwanachuo bora CC mwigulu

MODS:
Toa hii hapa kisha ipeleke jukwaa la Elimu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom