Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.
profesa gani huo? mbona hujamtambulisha anafundisha shule gani??? is it law, political science, sociology or wat?? isije kuwa ndo wale maprof wenu wa design ya majimarefu!!
 
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa.

swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

Mwambie huyo Prof wako akaji funze nini kazi za Katibu msaidizi? Si ndio maana tunawaambia UDSM kimegeuka kuwa Chuo cha kuzalisha VIHIYO? Kama Prof mwenyewe hajui kazi za USAIDIZI unategemea wanafunzi wake watakuwa je?
 
Huyo Prof. aje apost mwenyewe JF au aite press conference hayo anayoyasema huko mitaani, siyo kutuma wajingawajinga kama wewe JF. Mwenye mamlaka ya kuisemea UDSM in Profesa Mukandara ambaye ni Vice Chancellor and not otherwise. Hilo jina la huyo Prof. sijawahi kuiona kwenye management hierarchy ya UDSM wewe umemtoa wapi? Je ni msemaje wa UDSM?

Huyu si prof mimi namfahamu tatizo watu wengi wakiona mtu anafanya kazi chuo kikuu humuita Prof hata kama ni totorio asisitanti
 
Kwa matendo anayofanya huyu jamaa ni sawa na kudhalilisha elimu ya UDSM. Kitendo cha kuchana na kutupa bajeti ya mmbadala ya upinzani bungeni, ni dharau tosha kwa msomi mwenzako. (kinyume na code of ethics). Matamshi aliyokuwa anatoa Bungeni, utajua jamaa hajaenda shule au ni USHAMBA NA UMASIKINI aliokulia UMEMUATHIRI KIFIKRA. Kitendo cha kuruhusu wafuasi wake kumvisha Mbwa bandera ya CDM ni udhalilishaji wa ELIMU YA UDSM na Walimu waliomfundisha.
Lakini ukweli ni kwamba VIPANGA wengi wanakosa social skills na hawafiti ktk jamii. Hili jamaa kama inekuwa Ulaya angeitwa "He is danger to himself and society" kwa hiyo angewekwa ktk Hospitali za vichaa
Mwigulu ni jembe,na atawapasua vichwa sana,kuna thread nyingi mno umu zinamtuumu silaa kuwazarau wasomi wz ud pamoja chuo kwa ujumla sasa mleta mada naona anataka kutuingiza chaka ili tusaau thread ambayo ni mbadala na hii,ambayo inamhusu silaa
 
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa.

swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?
Na wewe ukisema umesoma UDSM nawarudishia vyeti vyao.
 
Dr Slaa kupenda madaraka amekuweka mbele wakati uwezo wake ni wa kiwango cha chini mno. Kiongozi kama slaa hawezi kuisema taasisi kubwa kama Udsm eti inatoa wasomi wabovu. Angeangalia jinsi uwezo wake ulivyo asingethubutu kuiponda Udsm.

Mkuu CHAMVIGA Swahum ilienda vip Kamanda?
 
Last edited by a moderator:
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa.

swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?
wee prof acha kutudhalilisha ni kweli kabisa kama chuo chetu kikuu daraja lake la kwanza ni watu kama mwigulu, hakika kitakuwa ni cha ovyo saaana, prof fuatilia maandiko ya mwigulu utajua dr alikuwa anamaanisha nini ,wewe ni prof wa aina gani mwenye kichwa kigumu kiasi hiko ,kushindwa kutambua dr kamaanisha nini ,leo tena nimepata jawabu kwa nini sisi masikini hasa tukiwa na maprof wa aina yako. dr usiombe radhi kwa vilaza hawa
 
Yupo na profesa yule mwingine aliyefurushwa huko marekani juzi hapa. Ndio walewalee...
 
One thing i definetely know jamaa ni Kichwa... Na ni jambo la kawaida watu walioko below and eversge intelligency au wale wa za kuunga unga kuona tofauti and that is expected!
 
Safi sana Dr Slaa, umekandia chuo kikuu ambapo ndiyo kuna wafuasi wako.

Mwingine huyoooo,Wanazidi kuibuka katika mashimo yao na kutapika umbumbumbu wao.Dr Slaa ongeza dawa ili wazidi kutapika huu ujinga wao mpaka fahamu ziwarejee!!!
 
Tumaini Asenga,
Kwa bahati mbaya hakuna alama za quotation. Hivyo sina hakika Kama hayo mane no ni ya kwako au ya Prof. Kama kweli ni ya Prof, sina hakika Kama kweli awesome posting yangu. Kama kweli kasoma, sina hakika ni Prof. Wa nini kwani kauli yangu haihitaji tafsiri, iko wazi. Kama Ni kweli ni maneno ya Prof. Na Kama ndiye alikuwa mwalimu wa Mwigulu, bass tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhani. Tumaini thibitisha Kama kauli hiyo ni ya Prof.
babu uko sawa nimeijibu hii post mbele kabla sijaiona ya kwako, kimaudhui na maana, kwa watu wanaofikiri vizuri zinafanana kama kweli udsm imetoa first class degree ya aina ya mwigulu sina sababu ya kupeleka mtu pale tunaweza kuzalisha wasomi vichaa wakatupa shida baadae
 
Kumbuka Kinana na Masters zake alimkimbia ,Usimsahau Mbayuwayu pia alikula kona kwenye mdahalo na Dr Slaa.Hivi wewe ndio yule mzee wa Panya?Sasa Panya walikukosea nini kijana mwenzangu mpaka uwaingize katika orodha ya maangamizi.Byeeeee!

Wee mnamuota ile mbaya hawapi usingizi kabisa.
 
Ana haki ya kuchana kama bajeti ya maandazi hata mi ningeitimbilia mbali
 
Mwigulu ni jembe,na atawapasua vichwa sana,kuna thread nyingi mno umu zinamtuumu silaa kuwazarau wasomi wz ud pamoja chuo kwa ujumla sasa mleta mada naona anataka kutuingiza chaka ili tusaau thread ambayo ni mbadala na hii,ambayo inamhusu silaa
What are talking about?
 
Siyo tu kwamba anakidhalilisha UDSM lakini pia taifa kwa ujumla, Mwigulu siyo mfano wa kuigwa na ameshapigwa ban kwa kutumia lugha ya matusi hapa JF siku ya leo!
 
Ni yule Msigwa anasema aombewe, maana uchumi hakuna formula ya kuomba, ila wazinzi bible inasema waombewe kama wenye dhambi wengine, mzinzi yuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom