Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.
Prof. Lweikosa?
Mbona ndio kwanza nalisikia jina hilo. Huyu anatafuta kutoka kupitia kwa Dkt. Slaa kwakuwa pamoja na kuwa profesa hakuna mtu anayemfahamu zaidi ya familia yake.
 
nawe kwa kutumika...haya kachukue ka mia mbili chako mana hata ulichoandika hakieleweki

yani Babu slaa kusoma huko italia vyeti vya dini anadharau udsm? Kweli huyu babu anazeeka vibaya, udsm is the best university in East and Central Africa, and the 7th in Africa! Babu inabidi aombe radh
 
yani Babu slaa kusoma huko italia vyeti vya dini anadharau udsm? Kweli huyu babu anazeeka vibaya, udsm is the best university in East and Central Africa, and the 7th in Africa! Babu inabidi aombe radh

Acha us.....wa katerero hapa ww! Kuwa cha7 Africa haimaanishi hakuna pumba na ndio maana cha7 kama kisingekua kinatoa uharo kama ww basi kingekua cha1...sipend anayekuja na hoja kama zako, hiko chuo kilikua zaman befor ccm hawajawaweka wafuasi kama benson banana, mukandarara, ww ,etc
 
Acha us.....wa katerero
hapa ww! Kuwa cha7 Africa haimaanishi hakuna pumba na ndio maana cha7
kama kisingekua kinatoa uharo kama ww basi kingekua cha1...sipend
anayekuja na hoja kama zako, hiko chuo kilikua zaman befor ccm
hawajawaweka wafuasi kama benson banana, mukandarara, ww ,etc

nina uhakika umeishia darasa la pili
 
Thanx to catholic church kwa kumuokoa kikongwe slaa.... Msingempeleka seminar nina hakika angekuwa MCHAWI MBAYA SANA.
Hata hivyo, roho yakw ni yq kichawi sanaaaaaaa
 
Hakiki kila dalili zanaanza kujionesha kuwa vijana tumefikia ukingo wa kufikiri na tusubiri kufanyiwa uliberali kwa mtindo huu wa ubunifu mfu.
 
Tumaini Asenga,
Kwa bahati mbaya hakuna alama za quotation. Hivyo sina hakika Kama hayo mane no ni ya kwako au ya Prof. Kama kweli ni ya Prof, sina hakika Kama kweli awesome posting yangu. Kama kweli kasoma, sina hakika ni Prof. Wa nini kwani kauli yangu haihitaji tafsiri, iko wazi. Kama Ni kweli ni maneno ya Prof. Na Kama ndiye alikuwa mwalimu wa Mwigulu, bass tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhani. Tumaini thibitisha Kama kauli hiyo ni ya Prof.



PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa,
swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

KWA ZAIDI TEMBELEA WWW.JKWETU.BLOGSPOT.COM
 
Mtu kusema UDSM is a dump kuna tatizo gani?

Is Tanzania so much of a police state one cannot even be free to say what he thinks?
 
Mbona hata FIRST CLASS ZA CHUPI ni nyingi tu na maisha yanaendelea. Nina mashaka na chuo alichosoma na anachofundisha huyo ' Prof'. Kwani sitarajii prof makini baada ya kusoma comments za Dr. Slaa anaweza kutoa maoni yoyote labda naye awe punguani wa logic.

Inamaana na ya Mwigulu ni ya Ch...pi!!
 
Mkuu babu slaa hata degree moja.hana ana certificate tatu za sheria ya dini ndo anajiita dr.
majanga

Duu mi sio mwanasiasa ni mpitaji tu....ila dada unakurupuka.....degree,masters, phd na pgd za chupi au za kupeana na uprof wa kunjunga ni rahisi kuzipata hapa tz hasa udsm....kuonyesha hilo udsm ama mnaojiita wasomi mmeacha kulisaidia taifa kutoka ktk umaskini na kujikita ktk siasa za ubinafsi,ufisadi na kiropoka...hivi hata chupi ulivaa wakati unareply
 
Mkuu babu slaa hata degree moja.hana ana certificate tatu za sheria ya dini ndo anajiita dr.
majanga
We Mdada usije ukawa ndio wa kwanza kusoma kwenye ukoo wenu Unasomaga vitabu? Unajua maana ya Elimu? Kuna vitu unavikosa elimu ya darasa la kiTanzania sio elimu nzuri toka ndani ya box utaelewa! You miss a lot!
 
Tumaini Asenga,
Kwa bahati mbaya hakuna alama za quotation. Hivyo sina hakika Kama hayo mane no ni ya kwako au ya Prof. Kama kweli ni ya Prof, sina hakika Kama kweli awesome posting yangu. Kama kweli kasoma, sina hakika ni Prof. Wa nini kwani kauli yangu haihitaji tafsiri, iko wazi. Kama Ni kweli ni maneno ya Prof. Na Kama ndiye alikuwa mwalimu wa Mwigulu, bass tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhani. Tumaini thibitisha Kama kauli hiyo ni ya Prof.

Mkuu! Mkuu! CCM hawana hoja wala weledi wa kujua mambo...walichobakisha sasa hivi ni kugeuza habari na kupiga propaganda!
 
Kwani Mwigulu ni product ya wapi? Hawa maprofesa makanjanja ndio wanaoturudisha nyuma, inawezekana UDSM inatoa wahitimu bora lakini namna wanavyotumia elimu zao ndiko kunakofanya watu wajiulize maswali mengi.Mbona wahitimu bora wa UDSM wapo wengi sasa kwanini Mwigulu ndo asemwe vibaya? Hata mimi ningekuwa ni mmoja wa walimu wa Mwigulu kamwe nisingejivunia kumfundisha!
Ni kweli kabisa yaani ujisifie kumfundisha kichaa!!!!!!!!!
 
yani Babu slaa kusoma huko italia vyeti vya dini anadharau udsm? Kweli huyu babu anazeeka vibaya, udsm is the best university in East and Central Africa, and the 7th in Africa! Babu inabidi aombe radh

We nshomile lazima uione udsm bora kwa kuwa buraza ndio anaongoza na anajitahidi kugawa vyeo kwa nshomile.....mpaka udsm imelidsidia nini taifa kimaendeleo zaidi ya tafiti zao kuwa za mifukoni......?
 
Ni bora yeye kuliko yule dhaifu wenu mwenye udoctor FEKI.
 
Dk slaa anazeeka vibaya kwa nini anakosa ustarabu pamoja na kuwa na umri mkubwa kiasi hicho,mpaka sasa hawezi tena kustarabika anadhani kila kitu ni kutukana tu.
 
Eti professor! Umeisaidia nini nchi yetu wewe zaidi ya kuganga njaa?go to hell professor,kama kweli ulikuwa unajali credibility ya UDSM basi Mwiguli alitakiwa avuliwe shahada yake yake ya uchumi.Huna lolote
 
We Mdada usije ukawa ndio
wa kwanza kusoma kwenye ukoo wenu Unasomaga vitabu? Unajua maana ya
Elimu? Kuna vitu unavikosa elimu ya darasa la kiTanzania sio elimu nzuri
toka ndani ya box utaelewa! You miss a lot!

wewe binti shonza 'read btn the lines' usiweke ubongo wako rehani ili mtu mwingine afikiri badala yako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom