Acha kutuhadaa we victim uliyekosa Udsm! Habari yako imekaa kinafiki sana
Unamaanisha iliyokuwa udsm au hii hii wanaolala 12 chumba kimoja mabibo au hii hii udsm inayotoa washauri wa baba Ritz?Think big udsm ilishaisha saiv ni kama makumbusho tu!
Acha kutuhadaa we victim uliyekosa Udsm! Habari yako imekaa kinafiki sana
na asipoomba chuo kimshitaki maana huwezi kuchafua image ya chuo chenye heshima kama Udsm halafu ukaachwa hivihivi
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.
kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii
"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".
kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa,
swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?
KWA ZAIDI TEMBELEA WWW.JKWETU.BLOGSPOT.COM
Slaa anaiuwa chadema kwa tabia yake ya kuropoka ropoka
We nawe pimbi tu mara zitto mara udsm kaa utulie