Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

Siyo ishu, USA inaongozwa na foreign policy, na hizo huwa haibadiliki, na foreign policy ya USA inaendana na maslahi ya USA kwa nchi husika, sasa USA hana maslahi yoyote yale JMTZ bora hata ingekuwa Kenya wanaihitaji shauri ya Somalia lkn kwenye geopolitics ya USA JMTZ yetu haimo kiihivyo.

Na hilo halibadiliki haijalishi nmnakutana na kupiga selfie na senator au congressman yupi!
Kama USA Hana maslahi ilikuaje Obama Bush na Clinton wakaja
 
Kukutana na congressman wa USA siyo ishu hata mimi nishawahi, ni kawaida sana hata wewe ukitaka unaweza kulingana na unachofanya.
Alishatembelea hapo lumumba maana nina uhakika hata chimwaga dom hujafika
 
Watakaolia siyo waelewa na ndo walengwa wa Tu ndu Lisu, lkn kwa waelewa wanajua hamna kitu hapo, ukiwa kama Mbunge upinzani kutaka kukutana na congressman wa USA siyo ishu chama kinaandika tu barua na kuomba kuonana naye, upinzani Dunia nzima hufanya hivyo.
hujui usemalo wala unenalo hujui nguvu ya USG hasa hapa tz tucjidanganye his tour will have a negative impacts as a nation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo ishu, USA inaongozwa na foreign policy, na hizo huwa haibadiliki, na foreign policy ya USA inaendana na maslahi ya USA kwa nchi husika, sasa USA hana maslahi yoyote yale JMTZ bora hata ingekuwa Kenya wanaihitaji shauri ya Somalia lkn kwenye geopolitics ya USA JMTZ yetu haimo kiihivyo.

Na hilo halibadiliki haijalishi nmnakutana na kupiga selfie na senator au congressman yupi!
Nani kakwambia USA hana maslai tz
. wasingekuwa wanatoa USAID

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Tundu Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman leo Washington D.C.

Wameongelea juu ya changamoto za demokrasia Tanzania na Haki za binadamu. Congressman Brad ameahidi kufanyia kazi na kuweka uwazi juu ya demokrasia na haki za binadamu zinavyo kandamizwa Tanzania.

Mh. Lissu anaendelea na ziara yake machana huu.

Uhaini ni kosa la jinai, kwa tafsiri nyepesi ina maana kwamba ni kosa kubwa ambalo mtu analifanya dhidi ya nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti, mfano wa watu wasaliti wanaojulikana duniani ni Yuda ambaye kidini alimsaliti Yesu, mwingine ni Benedict Anold huyu jamaa aliisaliti nchi yake ya Marekani dhidi ya Mbritishi, wengine ni Vidkun Quisling, na Marshall Pe’tain.

Kisheria ukubwa wa kosa hupimwa kwa adhabu yake, kosa likiwa kubwa mtuhumiwa hutumikia adhabu kubwa vivyo hivyo kosa likiwa dogo mtuhumiwa huadhibiwa kiasi.

Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini hivyo huadhibiwa kulingana na ukubwa wa kosa hilo.

Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua Rais, kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano, kusababisha, kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, kufungwa kwa Rais, kumwondolea Rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali, kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama kwa makosa haya na yale yaliyotajwa hapo juu mtu wa namna hiyo atakuwa ametenda kosa la jinai ambalo ni kosa la uhaini

Aidha ifahamike kuwa kwa mtu yeyote atakayekutwa na hatia ya kutenda kosa la uhaini adhabu yake ni kifo na sheria hiyo ya kifo imeelezwa katika kifungu cha sheria namba 39 na 40 cha kanuni za adhabu.

Hivyo watanzania kwa umoja wetu tunapaswa kuzijua sheria za nchi yetu ili kuweza kujiepusha kutenda makosa ya uhaini dhidi ya nchi yetu.

Kwa Hisani ya Mpekuzihuru.
 
mkuu acha kukariri, embu tueleze kumwondolea heahima mkuu wa nchi ni kufanya nini/tukio gani mpaka heshima yake ya urais ikashuka??
 
Nenda kasome KATIBA na Kanuni + Sheria za Nchi unaweza kupata mawili matatu yakakusaidia huko mbeleni.
Mwenyekiti wenu alidharau sheria za Mahakama na sasa hivi yuko katika Chuo cha Mafunzo anatumikia.
 
A member au unazungumzia committee kamili. Unaweza kutana na member mmoja ama wawili + - , lakini full committee lazima wawe na ajenda. Kuzikilizwa inawezekana, lakini kuingizwa kweny mjadala wao unahitaji corum

Sent using Jamii Forums mobile app
Atawapelekea wenzake ujumbe. Si amemuona mwenyewe kwa macho yake?

Halafu lazima anayo mabarua kutoka huko EU. Kumbuka walimrudisha balozi wao nyumbani?
 
abauti fridom ovi expreshen ai emu privirejid tu havu stadid in amerika ai rent zati iti kenoti infrinji aponi aza pipoz raits. meking forisi stetments wazi kriminaraizid - ret mi ter you wan sing zis man himself iz injoingi fridom ovu ekspresheni dimonaizing awa kantri and pipo!
Ile lafudhi kama muethiopia😀
 
Back
Top Bottom