Jipu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 2,715
- 5,633
Naunga juhudi za bwana yule mjomba.Mjomba nimefurahishwa sana na picha yako !
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga juhudi za bwana yule mjomba.Mjomba nimefurahishwa sana na picha yako !
Ohooo, kumbe Mungu ni mzungu? Ha ha ha.Toa "z" kwenye Mzungu, utaona kitachobakia
Hahaha yaani Mbunge wa Burundi au Kenya aje JMTZ akutane na J. Heche halafu iwe news kweli?
Sina hakika kama ufahamu huo anao huyo unayejibishana naye. Nadhani hana ajualo kuhusu utendaji kazi wa congress na kamati zake mbali mbali.Then utakuwa unajua vizuri influence ya Congressman kwenye politics za US...!!
Ni kitu simple tu, mbona watoto wake wanakutanaye kila siku wakitoka shule.Kukutana na congressman wa USA siyo ishu hata mimi nishawahi, ni kawaida sana hata wewe ukitaka unaweza kulingana na unachofanya.
Acha uongo ng'ombe weye.Unadanganya ili iweje?Umekutana na Joti unajidai ulikutana na Congressman? Nigger please, gimme some breaks!Kukutana na congressman wa USA siyo ishu hata mimi nishawahi, ni kawaida sana hata wewe ukitaka unaweza kulingana na unachofanya.
Ninakubaliana na wewe.Inafika mida hta tuliomuonea huruma hatumuelewi huyu jamaa,hizo ziara analipa mwenywe au kna people behind,mpaka wasiwasi wa tukio lenywe la shambulizi,main qn here baada ya hizi media tour what next[emoji848][emoji848]
Hizi sarakasi ajue kabis akili za watz zilivyo,ndani ya muda mfupi watu wanasahau everything tabu inabaki kwake alone,mifano ni mingimoja wapi kub watu wamemsahau kiutani tu,wengne mpka wanajdanganya ni part ya mission but ukweli ni kua Tz tukio lnakua hot mda mfupi hta liwe aetious kiasi gani baada ya siku kadha watu wanakutupa lukee kwnye dustbin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu amelala kitandani mwaka mzima hivi kuamka na kutembea kidogo hamtaki!!? nyie ni viumbe wa ajabu sanaInafika mida hta tuliomuonea huruma hatumuelewi huyu jamaa,hizo ziara analipa mwenywe au kna people behind,mpaka wasiwasi wa tukio lenywe la shambulizi,main qn here baada ya hizi media tour what next[emoji848][emoji848]
Hizi sarakasi ajue kabis akili za watz zilivyo,ndani ya muda mfupi watu wanasahau everything tabu inabaki kwake alone,mifano ni mingimoja wapi kub watu wamemsahau kiutani tu,wengne mpka wanajdanganya ni part ya mission but ukweli ni kua Tz tukio lnakua hot mda mfupi hta liwe aetious kiasi gani baada ya siku kadha watu wanakutupa lukee kwnye dustbin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe muzungu ana more value....Yah right.... Unamlinganisha Congressman na mbunge wa Kenya.
Kesho utadai kuwa Rais wa TZ ni Sawa na wa USA... Kwa vile wite ni Wakuu wa nchi!!
The issue is not about value... It's about power!!Kumbe muzungu ana more value....
We ulikutana naye ili kumpa Tigo, lissu anakutana kwa maswala ya haki za binadamu na utawala wa sheriaKukutana na congressman wa USA siyo ishu hata mimi nishawahi, ni kawaida sana hata wewe ukitaka unaweza kulingana na unachofanya.
Mwisho wake najiuliza utakua nini,maana kiuhalisia jamaa hawezi kuja kua presidentNinakubaliana na wewe.
Hili ndilo lililotazamiwa na waliotaka kumwondoa roho; watu wasahau.
Sasa mambo ni tofauti kabisa. Kila wakitaka kusahau, moto unawashwa tena. Mwishowe kisiki nacho kitapata ujoto na kuanza kuungua!
Vuta subira mkuu!
Wewe kichaa, hujui The US Congressman ni zaidi ya rais yeyote wa Afrika.Tulizeni mshono,huu mpambano mnayemkingia atafikiwa tu
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
Yaani wewe unayelima magimbi Melela ndio ukutane na The US Congressman, najua hapo sasa uliota ndoto ya hivyo. Nonsense kabisa, acheni kuleta utani hapa.Kukutana na congressman wa USA siyo ishu hata mimi nishawahi, ni kawaida sana hata wewe ukitaka unaweza kulingana na unachofanya.
Sasa kama ni hivyo mnacholia ni nini?Hakuna chochote cha maana kilichoongelewa hapo, zaidi mgonjwa kuomba kupiga picha na watu maarufu kama ambavyo wanavyofanya watu wengine. Nasikia
ataendelea kutembeatembea hapo Marekani hata kwenye kumbi za Cinema atafanya mahojiano, yale yale ya kuonesha vilaka vya matundu ya risasi, lengo lake kubwa ni kupoteza muda tu ili aendelee kuwepo hapo mpaka akutane na Trump.
Jifunze kuandika basi, pressure ya nini dogo?Inafika mida hta tuliomuonea huruma hatumuelewi huyu jamaa,hizo ziara analipa mwenywe au kna people behind,mpaka wasiwasi wa tukio lenywe la shambulizi,main qn here baada ya hizi media tour what next[emoji848][emoji848]