Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

Zimbabwe siyo TZ, USA na allies wake kama Uingereza wana national interest Zimbabwe hivyo ni muhimu kwao kujua na kuamua nani awe Raisi wa Zimbabwe, lkn US hana maslahi TZ .
Sasa mbona kelele nyingi kama zoezi la lissu halina madhara! Mbona mnapoteza muda kwa jogoo lisilopanda mtungi?badala ya kuwaza kuwatumikia Watanzania na kuwaletea maendeleo!? UKWELI MMEKAMATIKA, Mnashindwa kukiri tu. BASI CHUTAMENI YAISHE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimbabwe siyo TZ, USA na allies wake kama Uingereza wana national interest Zimbabwe hivyo ni muhimu kwao kujua na kuamua nani awe Raisi wa Zimbabwe, lkn US hana maslahi TZ .
Ustadhi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana sana

Hauko sawa wewe ni Abnormal, Tunapoongelea uhusiano wa kimataifa yaani International relations hatuongelei maslahi peke yake ya kuchaguliana viongozi, Kama uhusiano ingekuwa maslahi tu basi Tanzania tungekuwa donor country
Ustadhi elimu gani au hadithi ipi inawatoa ufahamu wa kufikiri au lishe duni ukiwa mtoto
 
abauti fridom ovi expreshen ai emu privirejid tu havu stadid in amerika ai rent zati iti kenoti infrinji aponi aza pipoz raits. meking forisi stetments wazi kriminaraizid - ret mi ter you wan sing zis man himself iz injoingi fridom ovu ekspresheni dimonaizing awa kantri and pipo!
 
Ustadhi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana sana

Hauko sawa wewe ni Abnormal, Tunapoongelea uhusiano wa kimataifa yaani International relations hatuongelei maslahi peke yake ya kuchaguliana viongozi, Kama uhusiano ingekuwa maslahi tu basi Tanzania tungekuwa donor country
Ustadhi elimu gani au hadithi ipi inawatoa ufahamu wa kufikiri au lishe duni ukiwa mtoto


USA anafwata maslahi yake na labda ya allies wake basi na si vinginevyo iko clear!
 
Hakuna chochote cha maana kilichoongelewa hapo, zaidi mgonjwa kuomba kupiga picha na watu maarufu kama ambavyo wanavyofanya watu wengine. Nasikia

ataendelea kutembeatembea hapo Marekani hata kwenye kumbi za Cinema atafanya mahojiano, yale yale ya kuonesha vilaka vya matundu ya risasi, lengo lake kubwa ni kupoteza muda tu ili aendelee kuwepo hapo mpaka akutane na Trump.
 
Unafahamu kazi ya congressional committee of foreign affairs?
A member au unazungumzia committee kamili. Unaweza kutana na member mmoja ama wawili + - , lakini full committee lazima wawe na ajenda. Kuzikilizwa inawezekana, lakini kuingizwa kweny mjadala wao unahitaji corum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona kelele nyingi kama zoezi la lissu halina madhara! Mbona mnapoteza muda kwa jogoo lisilopanda mtungi?badala ya kuwaza kuwatumikia Watanzania na kuwaletea maendeleo!? UKWELI MMEKAMATIKA, Mnashindwa kukiri tu. BASI CHUTAMENI YAISHE.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hayo maswali labda ungewauliza waleta Mada, mimi nimechangia tu Mada na siyo mtunzi wake.
 
Hakuna chochote cha maana kilichoongelewa hapo, zaidi mgonjwa kuomba kupiga picha na watu maarufu kama ambavyo wanavyofanya watu wengine. Nasikia

ataendelea kutembeatembea hapo Marekani hata kwenye kumbi za Cinema atafanya mahojiano, yale yale ya kuonesha vilaka vya matundu ya risasi, lengo lake kubwa ni kupoteza muda tu ili aendelee kuwepo hapo mpaka akutane na Trump.
Hawa jamaa wanashangaza sana.
 
Inafika mida hta tuliomuonea huruma hatumuelewi huyu jamaa,hizo ziara analipa mwenywe au kna people behind,mpaka wasiwasi wa tukio lenywe la shambulizi,main qn here baada ya hizi media tour what next[emoji848][emoji848]
Hizi sarakasi ajue kabis akili za watz zilivyo,ndani ya muda mfupi watu wanasahau everything tabu inabaki kwake alone,mifano ni mingimoja wapi kub watu wamemsahau kiutani tu,wengne mpka wanajdanganya ni part ya mission but ukweli ni kua Tz tukio lnakua hot mda mfupi hta liwe aetious kiasi gani baada ya siku kadha watu wanakutupa lukee kwnye dustbin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM full kuharisha sasa hivi.Hawana Amani kabisa.Mitaa ya Lumumba watu wanahaha kuhakikisha ziara zake haziendelei huko ughaibuni.Mwalimu Nyerere hakuwa mjinga alipotandika jamvi la vyama vingi 1992 baada ya subjects(mental slaves wa CCM) kujaribu kuupinga uamuzi huo kwa kila namna.Yani harakati za miaka yote zije kumalizwa na mtu mmoja.Haiwezekani.

-Tunataka katiba mpya
-Tunataka Tume huru ya uchaguzi
-Tunataka Freedom of Expression
-Tunataka Free press

Lissu endelea kulipigania Taifa;Tupo nyuma yako.
 
Back
Top Bottom