Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
480
644
Mh. Tundu Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman leo Washington D.C.

Wameongelea juu ya changamoto za demokrasia Tanzania na Haki za binadamu. Congressman Brad ameahidi kufanyia kazi na kuweka uwazi juu ya demokrasia na haki za binadamu zinavyo kandamizwa Tanzania.

Mh. Lissu anaendelea na ziara yake machana huu.
 

Attachments

  • FAA4475A-0DCD-4614-B273-E13F4C6DA581.jpeg
    FAA4475A-0DCD-4614-B273-E13F4C6DA581.jpeg
    252.7 KB · Views: 66
  • 53AF2066-C47B-4986-81BF-73FE96987CDC.jpeg
    53AF2066-C47B-4986-81BF-73FE96987CDC.jpeg
    208.1 KB · Views: 64
  • B1F009AF-311D-4254-91B5-58CF387D9B68.jpeg
    B1F009AF-311D-4254-91B5-58CF387D9B68.jpeg
    179.5 KB · Views: 86
Then utakuwa unajua vizuri influence ya Congressman kwenye politics za US...!!


Siyo ishu, USA inaongozwa na foreign policy, na hizo huwa haibadiliki, na foreign policy ya USA inaendana na maslahi ya USA kwa nchi husika, sasa USA hana maslahi yoyote yale JMTZ bora hata ingekuwa Kenya wanaihitaji shauri ya Somalia lkn kwenye geopolitics ya USA JMTZ yetu haimo kiihivyo.

Na hilo halibadiliki haijalishi nmnakutana na kupiga selfie na senator au congressman yupi!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom