lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Kama nchi zingine hakuna ukandamizaji na uvunjaji wa haki za binaadam kama Tanzania, waende wakafanye nini huko kwa wazungu? HEBU REJEA SERIKALI YA MUGABE, UKICHAMBUA KIWENDA WAZIMU UTASEMA JESHI. WENYE AKILI TIMAMU TUTAJUA MCHEZO ULISIMAMIWA NA NANI! Mdharu mwiba mguu huota tendeMtazamo wenu tu, lkn hakuna tofauti congressman hawezi badilisha foreign policy ya USA sababu eti kakutana na Tu ndu Lisu, kama ingekuwa hivyo basi Dunia nzima ingekuwa ni Mapinduzi tu kila siku kwa maana Upinzani Dunia nzima hushinda huko USA kujaribu kuishawishi USA kuingilia maswala ya ndani ya nchi zao.
Sent using Jamii Forums mobile app