Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

Ni rahisi sana kukutana na Congressman ama Senator wa jimboa lako. Kama una ndugu ama rafiki aliye raia wa umarekani, anao uwezo wa kumuomba ukutane naye, anahitajika amplekee huyu mjumbe waraka wa maombi tuu.

Google hizo link ujue ilivyo rahisi:

How to Meet Your Members of Congress Face-to-Face

The Most Effective Form of Advocacy
https://www.thoughtco.com/meeting-with-your-members-of-congress-

February 2017

How to Set up a Meeting with Your Member of Congress
https://familiesusa.org/product/how-set-meeting-your-membe

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema nini labda mkuu ?
 
Hahaha yaani Mbunge wa Burundi au Kenya aje JMTZ akutane na J. Heche halafu iwe news kweli?
Usiishi katika nadharia. Peleka mawazo yako katika uhalisia. There is no way by whatever measure Rais wa Tanzania ni sawa na Rais wa Marekani, Waziri Mkuu wa Uingereza au Rais wa China au Chancelor wa Germany.

Huwezi kumlinganisha congressman hata na waziri wa Tanzania.

Mtazamo wenu tu, lkn hakuna tofauti congressman hawezi badilisha foreign policy ya USA sababu eti kakutana na Tu ndu Lisu, kama ingekuwa hivyo basi Dunia nzima ingekuwa ni Mapinduzi tu kila siku kwa maana Upinzani Dunia nzima hushinda huko USA kujaribu kuishawishi USA kuingilia maswala ya ndani ya nchi zao.
 
He is a senior member of House foreign affairs committee

Kwa hiyo? Hiyo ni kazi yake Chama chochote cha Siasa Dunia hii kikimuandikia barua na kupenda kuonana naye hawezi kataa ni swala la yeye kutafuta muda tu, hiyo haisemi chochote.
 
Hahaha yaani Mbunge wa Burundi au Kenya aje JMTZ akutane na J. Heche halafu iwe news kweli?
Ustadhi naona quran inakuchanganya sana, Hivi mbona wanaofundisha wanakula bata na pombe na hawajitoi muhanga

Nyie wengine akili zenu mnapeleka wapi mpaka mnavalishwa mabomu
 
Ustadhi naona quran inakuchanganya sana, Hivi mbona wanaofundisha wanakula bata na pombe na hawajitoi muhanga

Nyie wengine akili zenu mnapeleka wapi mpaka mnavalishwa mabomu

Umepotea njia mimi siyo ustaadhi na sijui maana yake na wala Quran siijui.
 
Yah right.... Unamlinganisha Congressman na mbunge wa Kenya.

Kesho utadai kuwa Rais wa TZ ni Sawa na wa USA... Kwa vile wite ni Wakuu wa nchi!!
MWISHO WA SIKU ATAFANANISHA KIKAO CHA LISSU NA SHERMAN VS KILE CHA MBUNGE KIBAJAJI MBUNGE LING'ONYO MDOKONYOLE WA BURUND
 
Back
Top Bottom