Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

Sawa lakin badae msianze kulia lia hapa Lissu anawatukania kwa Cogressman

Sent using Jamii Forums mobile app


Watakaolia siyo waelewa na ndo walengwa wa Tu ndu Lisu, lkn kwa waelewa wanajua hamna kitu hapo, ukiwa kama Mbunge upinzani kutaka kukutana na congressman wa USA siyo ishu chama kinaandika tu barua na kuomba kuonana naye, upinzani Dunia nzima hufanya hivyo.
 
Kukutana na congressman wa USA siyo ishu hata mimi nishawahi, ni kawaida sana hata wewe ukitaka unaweza kulingana na unachofanya.
Ulikutana na Beberu sio ?

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Tulizeni mshono,huu mpambano mnayemkingia atafikiwa tu

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk

Mnapoteza Muda, USA anafwata foreign policy yake ambayo inaendana na national interest ya USA, na hiyo haiwezi kubadilika shauri ya Tu ndu Lisu, never!
 
Ni rahisi sana kukutana na Congressman ama Senator wa jimboa lako. Kama una ndugu ama rafiki aliye raia wa umarekani, anao uwezo wa kumuomba ukutane naye, anahitajika amplekee huyu mjumbe waraka wa maombi tuu.

Google hizo link ujue ilivyo rahisi:

How to Meet Your Members of Congress Face-to-Face

The Most Effective Form of Advocacy
https://www.thoughtco.com/meeting-with-your-members-of-congress-



February 2017

How to Set up a Meeting with Your Member of Congress
https://familiesusa.org/product/how-set-meeting-your-membe



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapoteza Muda, USA anafwata foreign policy yake ambayo inaendana na national interest ya USA, na hiyo haiwezi kubadilika shauri ya Tu ndu Lisu, never!
Mbona mnahangaika sasa,oooh anatuchafua

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Back
Top Bottom