Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

Mwisho wake najiuliza utakua nini,maana kiuhalisia jamaa hawezi kuja kua president

Sent using Jamii Forums mobile app
Hitimisho kama hili la 'jamaa hawezi kuja kua president' sijui umelitoa wapi? Uhakika huo umeupata vipi?

Lakini pia ni vizuri kukumbuka kwamba u-president sio kila kitu. Kuna mambo mengi duniani anayoweza kufanya Lissu na akaridhika nayo. Lakini huo u-'president' anaoweza kunyimwa kwa mizengwe watakaokuwa nao wanaweza kukuta hauwapi 'satisfaction' waliyotegemea.
 
Back
Top Bottom