Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

na je ni upi uhusiano wa JK na Sheikh Yahaya? je huyu sheikh ndo mganga wa jamaa, juzi ametoa taarifa ya kumlinda na serikali haijakanusha.
 
Kama sio kifafa basi atakuwa na damu chafu yaani HIV
Wala sijatembela ukurasa huu.
was just passing by
nilisoma mwaanzo wa hii post umeme ukakatika ghafla
niliscroll fasta nikasoma post ya kwanza na ya mwisho

Napata picha kuna mtu atatoa utetezi huu mbele ya.......
 
Hahahaaaa jamaa kaaaazi kweli kweli, dr wake alisema JK anatoa damu kwa mwaka mara mbili labda ndio chanzo cha kuanguka anguka, ila mi najiuliza anatoa damu au anabadili damu? CCM wawe wakweli tu ili tusije tukapata rais kama yuleee wa Nigeria.Shida nyingine ni kuwa JK "anabadili usiku kuwa mchana" too much kungonoka wakati afya mgogoro.:becky:
 
Hivi na yule Maji marefu wa Korogwe ambaye sasa amejiweka katika orodha ya kwenda mujengo kupitia sisi m mnasemaje?
Huyu bwana yasemekana vigogo kibao walikuwa wakienda kwake kupata msaada wa ulinzi shirikishi. Watu wa Korogwe wanajua hili maana misafara imekuwa ikipita wanaona ikielekea kwake. Leo anampango wa kwenda mujengo ili akakamilishe kazi.
Danganyika Kazi kweli kweli.
 
Hivi ndugu zangu mnaoshupalia hili kama ajenda ya ushindi dhidi ya CCM mnajua asilimia ngapi ya wapiga kura wanaamini katika masuala haya? Tena katika dini zote kubwa na ndogo hapa nchini. Mmeshawahi kuchunguza ni asilimia ngapia ya wapiga kura huacha shughuli zao na kufuatilia kipindi cha Yahaya Hussein kule Channel Ten.....

Jiulizeni maswali hayo magumu halafu ndio muanze kusherehekea kama vile mmepata ajenda ya ushindi kutoka kwa Yahya Hussein...

omarilyas
 
Back
Top Bottom