Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

BWAXY

Member
Sep 1, 2010
31
0
Hebu tuzungumzie japo kidogo tu kuhusu hali ya raisi wetu.

Mwaka 2005 alianguka pale jangani tukapewa sababu hizi na zile.

Ameenda Mwanza CCM Kirumba ameanguka tena jukwaani, sababu hazikosekani.

Mwaka huu wa uchaguzi tena ameanguka palepale jangwani hawachoki kutudanganya. Niliwahi kusoma gazetini kuwa alishawahi kuanguka tena airport huko nje

Hivi kweli CCM na serikali yao wameshindwa hata kuangalia afya ya rais wa tanzania? Hawa madaktari wake wanafanya kazi gani? Au tunamlaumu dereva wakati gari ni bovu? Kila mmoja anapaswa awajibike kwa nafasi yake.

Hebu nisaidieni maoni jamani....
 
Rostam ana majibu ya haya maswali yote! He's everything kwenye mustakabali wa nji hii
 
Mzima kama CHUMA ila sema tu Swaumu ya mara kwa mara huwa inamsumbua.........
 
Ni kweli alianguka ten Sengerema na Mbeya?...Sikonge hiyo swaumu yeye peke yake Makamba je au hafungi huyu?....Bilal mbona anadunda naye ni mzee zaidi?
 
mnnnhh...kweli wewe leo uko bwaxxy mbaya...naona unachokonoa mzinga wa nyuki..au unajua wameenda kutafuta maua mazuri kwenye kampeni hawako bize hapa kukufuatilia wewe ulekuwa bwax.....any way mie namwaga mboga banaaa "mitaani watu wanasema ana nguma-lo-kito"... si unajuwa yale mambo yetu yaleeeee....hasa ukute zipu haifungi freshhhh...ahhh sana tuuu...

ila pia kuanguka kwake hasa kwenye majukwaa ya kisiasa huwa inatokana na "hofu ya nafsi" na "hisia ya ukosefu"..aka..guilty consousness...SI UNAJUA ANADAIWA MADENI KIBAO SASA ANAVYOKUTANA USO-KWA-USO NA WADENI WAKE ambao ndio sie wa-tz tunaokuwa tukimdai utimilifu wa zile "ahadi zake lukuki" basi huwa akituona majukwaani analegea mbayaa na kuishiwa nguvu...ndo maana mie nazidi kumshangaa anakopa tena ili tumdai hapo baadae...

One day hasa 2015 huyu mwananchi anaweza kutufia jukwaani....inshalllah mnyazii mungu atamjalia kheri pia na uelewa aaje "kukopa hovyo " ilhali hana uwezo wa kulipa deni la watanzania wenye kiu ya maendeleo toka kuondoka kwa mkoloni wa ki-jerumani... NI MAONI TUU NA YASITUMIKE NJE YA JAMII FORUMS PASI NA MAKUBALIANAO YA KIMAANDISHI NA MMILIKI WA MAONI HAYA
 
Hebu tuzungumzie japo kidogo tu kuhusu hali ya raisi wetu.

Mwaka 2005 alianguka pale jangani tukapewa sababu hizi na zile.

Ameenda Mwanza CCM Kirumba ameanguka tena jukwaani, sababu hazikosekani.

Mwaka huu wa uchaguzi tena ameanguka palepale jangwani hawachoki kutudanganya. Niliwahi kusoma gazetini kuwa alishawahi kuanguka tena airport huko nje

Hivi kweli CCM na serikali yao wameshindwa hata kuangalia afya ya rais wa tanzania? Hawa madaktari wake wanafanya kazi gani? Au tunamlaumu dereva wakati gari ni bovu? Kila mmoja anapaswa awajibike kwa nafasi yake.

Hebu nisaidieni maoni jamani....

Baba ya muziki, MSONDO.....................We mkubwa bana umeshaelewa kila kitu.
 
Kikwete nasikia anaongoza nchi kwa ushauri wa mkewe , Makamba, Chiligati, Tambwe Hiza na Ridhwani.
 
mbona hujamtaja RA?

hahaaaah, nilimsahau, huyu ndo mfadhili wa chama, na inadaiwa ni ngumu kutenganisha mali zake binafsi na miradi ya ccm, jamaa anawazunguka kiaina, anajidai anawafadhili, huku akiwabana kwenye mikataba, huyu ni mtu hatari.
 
Tumwombe mola amnusuru na maradhi yanayomsibu after all ni Mtanzania mwenzetu
 
Haumwi, yupo fiti kinoma, sema tu ile michakato ya uchakachuaji wa kifisadi ndiyo inamfanya awe bize sana mpaka anasahau kulala, hivyo ni uchofu wa kufanya madili ya kifisadi usiku kucha, lakini wala haumwi.
 
Kama sio kifafa basi atakuwa na damu chafu yaani HIV
kuna topic moja ilizungumzia hili sula la hiv. Ila navyojua kama ni ukweli huwa anabadili damu basi ndo maana anadondoka! manake damu inatakiwa kubadilishwa mara kwa mara! kwasasa yupo busy na uchaguzi zaidi! Ila sijui kama kuna ukweli wowote juu ya haya madai!
 
hahaaaah, nilimsahau, huyu ndo mfadhili wa chama, na inadaiwa ni ngumu kutenganisha mali zake binafsi na miradi ya ccm, jamaa anawazunguka kiaina, anajidai anawafadhili, huku akiwabana kwenye mikataba, huyu ni mtu hatari.

True, RA ni mtu hatari sana huyu. Na hata wakuu wa nchi yetu alishawaona kuwa ni mazezeta wa hali ya juu. Anaweza kuwa-manipulate kwa kadri atakavyo.
 
Mzima kama CHUMA ila sema tu Swaumu ya mara kwa mara huwa inamsumbua.........
Inawezekana ikawa swaumu wakati wa mfungo wa mwezi mtukufufu wa Ramadhani; lakini je anapoanguka wakati usio wa mfuno pia inakuwa swaumu? CCm hawataki kukubali kuwa Rais wetu ni mgonjwa na kutaka kuonesha hilo wamejiandaa baada ya sikukuu ya IDD wampe Rais ratiba kabambe ya kuomba kura kwa wananchi; kwa kufanya hivyo ni dhahili kuwa Makamba na wapambe wengine hawampendi Jakaya kwani hawajali afya yake bali maslahi yao; je akianguka tena watasema nini? Hata Jakaya akishinda wasiwasi wangu ni kuwa hali ya afya yake itaruhusu wajajnja watawale kwa niaba yake na hilo si jambo zuri kwa mustakabali wa Taifa letu!! Kumbukeni tu kuwa wakati ule Mkapa alipougua na kwenda kutibiwa Ulaya ndio wakati wajanja walipogundua mbinu za kuliibia Taifa rasilimali nyingi sana!!
 
Hebu tuzungumzie japo kidogo tu kuhusu hali ya raisi wetu.

Mwaka 2005 alianguka pale jangani tukapewa sababu hizi na zile.

Ameenda Mwanza CCM Kirumba ameanguka tena jukwaani, sababu hazikosekani.

Mwaka huu wa uchaguzi tena ameanguka palepale jangwani hawachoki kutudanganya. Niliwahi kusoma gazetini kuwa alishawahi kuanguka tena airport huko nje

Hivi kweli CCM na serikali yao wameshindwa hata kuangalia afya ya rais wa tanzania? Hawa madaktari wake wanafanya kazi gani? Au tunamlaumu dereva wakati gari ni bovu? Kila mmoja anapaswa awajibike kwa nafasi yake.

Hebu nisaidieni maoni jamani....

Haumwi ila anaanguka kwa sababu yeye anaabudu sana ndumba. Akikiuka masharti yake lazima apoteze fahamu. mpaka shekhe Yahaya apigiwe simu atengue ndo anazinduka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom