Mgomo wa walimu wanukia kuanzia March 01, 2017

Mgomo wa walimu wanukia kuanzia March 01, 2017

ZAIDI YA ASILIMIA TISINI YA WALIMU NI VILAZA UCHWARA.
Hayo yote yanakutoka baada ya mama yako kukutawaza na kukuweka msafi na baada ya kujua kujitawaza mwenyewe unamuona mama yako ni mchafu ,,stupid ,
 
The Kenyan Medical Dr's style should apply. Mbona zamani kujenga international airport kijiji ni hazikosekani? Medical stores tra na kadhalika hazikosekani? Watoto wetu wanaumia ndiyo lakini haki lazima ipatikane. Za bombardier na kuhamia dodoma zinatoka wapi? Walimu kazini mkanda. Wamezaliwa kuonea watu. Lema kukaa jela kwa miezi minne kwa utashi wa mtu sio kisheria. Go on teachers we support you
 
GOMENI MUONE, KUNA WALIMU WENGI TU KITAA HAWANA AJIRA
 
Of all the pressure groups in Tanzania, CWT is the most hopeless.
Hakuna cha mgomo wala harufu ya mgomo.
 
Walimu wa Tanzania ni wanafiki sana hapo hakuna mgomo ni porojo zao za kila siku.....wangekua TRAWU wale ningeamini maana huwa hawatanii lakini sio washika chaki.
 
CWT waache unafiki km walishindwa kwa kikwete huyu great kalii wala hatugomi
 
CWT hoyeee.......? Mumepoteza mwelekeo saa mnatafuta njia ya kudanganya walimu eti mgomo Mimi nitakuwa shahidi hiki kitu hakipooooooo......
 
Wakumbuke kuwa hajaribiwi.

Jaribu hilo liko miguuni mwake sasa !

Kuna wakati mwingine majaribu huja tu unnoticed na kuliona hilo limejaa chumbani mwako na Lazima alishinde au limpige mweleka !

Na majaribu mengine hayashindwi kwa miguvu ya mwili bali kwa nguvu za kiroho akili na maarifa !
 
Walimu wa nchi ipi? Hapa Tanzania hakuna mgomo toka enzi hawa mnao waita cwt ndio maadui wakubwa wa Walimu mgomo upi akina mkoba wanapepesa macho tu hawaelezi hata hiizo hela za Walimu wanapeleka wapi kazi zao uongo mtupu watagoma wakati ndio makada wa ccm walimu watu wa ajabu kweli ww mkoba acha kuwaingiza walimu mkenge mgogoro upi ulio leta tija kwa walimu tangu kiundwe hicho chama chenu kwani ukikaa kimya huwezi walimu wanakatwa hela zinafanya kazi Ipi bora hata mngekuwa mnasomesha walimu wanaoenda kujiendeleza kazi zenu kupiga deals tu kada hao hao kutetea hao hao
 
Hawa (walimu) Ni Mafelia Hawawezi Kugoma. Wengi Ni Ma-bashite. Wameomba Kazi Ya Ualimu Kwa Kutumia Vyeti Vya Maiti Za Ndugu Zao.

Hivyo Wanaogopa Kugoma Maana Wataumbuka.
 
Walimu acheni kutuzingua basi tunajua mko kwenye mgomo muda mrefu hali halisi tumeiona kwenye matokeo ya Dar labda semeni mna mpango wa kupumzika tu nyumbani
 
Back
Top Bottom