hamna mgomo viongozi wote wenye mamlaka ya kuhamasisha mgomo ni makada wa ccm hao ni makatibu wote wa mikoa na wilaya hamna mgomo walimu tumeumia sana wengine wenzenu tulijaribu ndo tukaona
Du haya Mukoba wape vyao ili wacheue huo mpunga ila uwambie walimu wako nao wafundishe sio kukalia tuition huku wanafunzi wengine wakitoka bila kusoma.
benki ya walimu tumshukuru mizengo pinda kulazimisha BOT watoa hati ya benki kuruhusiwa kuanza hao viongozi wa cwt wametuumiza sana walimu na kutuhujumu mungu ndo anawasaidia walimu ila hatuna mda mrefu walimu watasumbua nchi hii miaka kumi ijayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.