mbudunge
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,735
- 1,096
Vipi if mzazi wako ni mwalimu?ZAIDI YA ASILIMIA TISINI YA WALIMU NI VILAZA UCHWARA.
Vipi if mzazi wako ni mwalimu?ZAIDI YA ASILIMIA TISINI YA WALIMU NI VILAZA UCHWARA.
Mzazi wa nini wakati mm pia ni MWALIMUVipi if mzazi wako ni mwalimu?
Hujui aina za migomo na athari zake usingesema hicho ulichoandika!! Matokeo ya waalimu kugoma utayaona kwa watoto wetu na kwa aina ya wasomi wanaozalishwa hapa nchiniMmmmhh..... Wakifanikiwa kugoma hata kwa dakika moja ntaanza kuwaamini
Jibu mubasharaMzazi wa nini wakati mm pia ni MWALIMU
We uko kama mimiMmmmhh..... Wakifanikiwa kugoma hata kwa dakika moja ntaanza kuwaamini