Mgomo wa walimu wanukia kuanzia March 01, 2017

Mgomo wa walimu wanukia kuanzia March 01, 2017

mtumishi wa uma atakayegoma mwaka huu anidai ....... gomeni muone msiishi kwa mazoea fanya kazi dai haki yako kwa utaratibu unaofaa unataka kugoma wakati kuna walimu hawajui wataajiriwa lini.
 
Wakigoma basi walimu wameanza kujitambua wao ni zaidi ya doormat.
 
Hawajawahi kugoma hiyo danganya toto tu, wakigoma tunawahikiki upya
 
mtumishi wa uma atakayegoma mwaka huu anidai ....... gomeni muone msiishi kwa mazoea fanya kazi dai haki yako kwa utaratibu unaofaa unataka kugoma wakati kuna walimu hawajui wataajiriwa lini.

Naona umezidiwa ,kama hakuna choo karibu, ingia kichakani kama ulivyozoea.
 
Hii ndo mada ya kujadili sasa achana na hizo movie zingne hazina mastering
 
mukoba na timu yake wote wapuuz,kukoma kwa walimu sawa na m2 kujitoa mhanga wa kunywa nyongo ya mamba! chama hk asilimia 90 kinamilikiwa na walimu wa primary so n vgum sana kuendesha mgono kwan primary walimu weng pass zao chaf ndio wanaokwamisha mgomo wa walimu lkn pia mukoba na wasaidiz wake n makada wa ccm hvyo magu analijua hlo ndio maana walimu wananyoshwa mpaka ashuke yesu! walimu n wehu kama wehu wengne,sizonje kasha wapa msko walimu wakuu na wakuu wa shule kasha maliza kazi!
Unavyowatusi wenzio vikurejeleee wewe na familia yako....Ningekuwa Mwalimu ningekutuc utamani kunipiga shaba
 
Hawana umoja hawa Mkuu halafu waoga sana na ndiyo sababu kama kuna Wafanyakazi ambao Serikali inawaonea na kuwanyanyasa Walimu wanachukua nambari one.
Nawahurumia sana walimu .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Walimu hawawezi kugoma hata dakika mbili maana hawa jamaa hata siwaelewi.
 
Ila walimu wanaonewa sana nchi hii hili ni tabaka la wanyonge hawana wa kuwatetea mungu atawapigania ila musiwe wajinga kuibeba CCM
 
Nchi gani wanataka kuigomea?....kama zile fimbo za police na wao wanazo sawa...wakichapa usikatike!!!!!
 
Kama hamkugoma kipindi cha JK, sahauni habari ya migomo na mfanye kazi. Hii ni awamu ya kazi, hakuna habari ya demokrasia ya migomo-mtakula virungu na kupoteza kazi maana kuna vijana kwa maelfu wako benchi wanapiga jalamba. Serikali ina jeuri ya kusimamisha wote waliogoma na kuajiri graduates.
 
Back
Top Bottom