Mgomo wa walimu wanukia kuanzia March 01, 2017

Mgomo wa walimu wanukia kuanzia March 01, 2017

Wao wanasema mgogoro sio mgomo.Kama ni mgogoro mimi nafikiri wala sio suala la kusubiri marchi mosi,mgogoro upo tayari na majibu yameshaanza kujipa lakini kama ni mgomo, huu uzi uhamishiwe kule international forums maana nina uhakika hao watakuwa sio walimu wa Tanzania.
 
Mkuu mm mwenyewe kitaaluma ni mwalimu sasa kwa utafit nilioufanya mwenyewe kwa uwezo wangu wote unataka nisiuseme....utafit unapigwa kwa utafiti wewe parachichi
Nadhani utakuwa mwalimu ulie foji vyeti maana msomi huwa hawezi kuyafanya uyafanyayo wewe na hawezi kuwa na mawazo ya kijinga kama yako na kama kweli wewe ni mwalimu basi hatuna walimu katika nchii maana kwa mayazo hayo ulio nayo nastaajabu kisikia eti na wewe ni mwalimu
 
Magu hawezi lipa ng'o.
Makusanyo yote ya kodi mikopo na misaada haijafika tr29 za bajeti,halafu atoe karibu trillion moja kuwalipa waalimu tuu
sidhani atalipa
Hata hivyo kutumia stahiki za watu kununulia vitu kama mapangaboi nk
ni kitu kibaya sana
 
Hatugomi. Wanataka wait we ikulu wapewe bahasha za kaki kisha watangaze kusitisha mgomo. Tumelitambua hilo. Kufeni na ukata tu hatugomi ng'o.
 
mgomo wa kijinga kabisa huwa mgomo wa walimu. Nadhani walimu wangekigomea chama chao kwa uzembe mkubwa katika kufuatilia haki za walimu. Chama kinajua kuwakata tuu pesa na kuahidi benki ya walimu kila leo
 
Nadhani utakuwa mwalimu ulie foji vyeti maana msomi huwa hawezi kuyafanya uyafanyayo wewe na hawezi kuwa na mawazo ya kijinga kama yako na kama kweli wewe ni mwalimu basi hatuna walimu katika nchii maana kwa mayazo hayo ulio nayo nastaajabu kisikia eti na wewe ni mwalimu
Bas mm sio mwalimu ila bibi yako ndio mwalimu.
 
Bila kuwaficha walimu wetu, wasithubutu kugoma hata Siku moja, maana majibu ya mgomo wao yatakuwa ni mabaya kuliko vipengere vinavyozalisha mgomo wao.
Pia wakumbuke kuwa walimu wengi walijiingiza kwenye mikopo ya hovyo huku wakitangaza heshima bar.
Watumishi wote wa serikali hawapishani sans mishahara unaweza kuta tofauti ni elfu 30 mpaka laki 1.
LABDA WAKUBALI WAFUTWE TU KAZI TUINGIE WENGINE TULIOPO NJE.
 
mkoba aliahidiwa uwaziri wa elimu, hivyo siku ngalichako akuharibu mkoba ndani ya nyumba. believe me
 
Nawakunbusha tu walimu kuwa kesho ni siku yenu kugoma.
 
sababu za kuto kugoma hizi!-:
1.UALIMU NI WITO!
2.UALIMU NI HAIBA!
Ova!!!!
 
Nakumbuka wakati Fulani tuliwaahidi "Laptop" hivi tumesha wapelekea ngapi?
 
Walimu Wapi wa kenya au Tanzania kama ni watanzania wakigoma siku mbili najiondoa JF
 
Wakigoma Walimu wa Tanzania naenda rugalo kufanya vurugu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom