Mgomo wa walimu wanukia kuanzia March 01, 2017

Mgomo wa walimu wanukia kuanzia March 01, 2017

walimu wakuu wamevuliwa vyeo kwa watoto kufeli, CWT wako kimya
ukiukwaji wa sheria za kazi, CWT wako kimya

hiki chama hua sikielewi utadhani ni tawi la jumuia ya wazazi 😳😳😳
 
Hatugomi. Wanataka wait we ikulu wapewe bahasha za kaki kisha watangaze kusitisha mgomo. Tumelitambua hilo. Kufeni na ukata tu hatugomi ng'o.
umetumwa wewe. asilimia 2 kwa kila mwalimu nchi nzima inashinda hizo bahasha za kaki mara dufu.
unafaidika nini na hii hali ya sasa
 
Ilikua ni harufu nyoka akijivua gamba ninyi mkazusha mkidhani ni mgomo wa waalimu unaonukia.
 
CWT nitaasisi inayo faid jasho la walimu..hawana kitu yaani ni toothless dog
 
sasa ivi watu wanapindisha term mgomo wanasema mgogoro....chezea maticha ww!@
 
Kilichotangazwa ni mgogoro,walimu hawana shida ya kuingia barabarani wala kuonyesha migomo kwenye vyombo vya habari,ili iweje?walimu walishagoma tangu miaka mingi sana,hakuna anayetumia nguvu karne hii.
 
Leo ni tarehe 1 machi. Naona huo mgomo umefuata nyayo za Operesheni Pendwa ya UKUTA WA BISKUTI.
 
wanamwogopa mwanaume yule wa nyumba nyeupe! ingekuwa ni jk muda mrefu washalianzisha, wajinga sana
 
WAALIMU WA TANZANIA HAWAWEZI KUANDAMANA KAMWE.

Hata wakivuliwa nguo zote hadharani...haya ni maneno yao tu tumeyazoea.
 
Back
Top Bottom