Mimi ninaulizauliza madogo wa shule mbalimbali nikikutana nao,wanachonieleza kuhusu ufundishaji naanza kuhisi jasho jembamba linanitoka.Hujui aina za migomo na athari zake usingesema hicho ulichoandika!! Matokeo ya waalimu kugoma utayaona kwa watoto wetu na kwa aina ya wasomi wanaozalishwa hapa nchini
Mkuu mm mwenyewe kitaaluma ni mwalimu sasa kwa utafit nilioufanya mwenyewe kwa uwezo wangu wote unataka nisiuseme....utafit unapigwa kwa utafiti wewe parachichiHayo yote yanakutoka baada ya mama yako kukutawaza na kukuweka msafi na baada ya kujua kujitawaza mwenyewe unamuona mama yako ni mchafu ,,stupid ,
Mungu wabariki walimu .
.....Mmmmhh..... Wakifanikiwa kugoma hata kwa dakika moja ntaanza kuwaamini
.....Hawana umoja hawa Mkuu halafu waoga sana na ndiyo sababu kama kuna Wafanyakazi ambao Serikali inawaonea na kuwanyanyasa Walimu wanachukua nambari one.
.....Hawana lolote hawa, wameona May mosi imekaribia wanaanza kujishaua.
....Wakigoma tunaanza kuhakiki vyeti upya.