Jamani Jeykey wewe daktari wako si yupo India?.. Acha kudanganya wenzio bana!Dr Wangu wa Muhimbili anasima
"" mgomo hakuna watu wanaendelea na kazi kama kawaida vikao bado vinaendelea"" mwisho wa kunukuu
Sasa tumuamini Doctor wa wapi??? maaana mgomo hakuna:juggle:
Na mbaya zaidi Waziri wa afya alishapeleka barua ya ku resign tatizo ni JK kampa kiburi
Dr Wangu wa Muhimbili anasima
"" mgomo hakuna watu wanaendelea na kazi kama kawaida vikao bado vinaendelea"" mwisho wa kunukuu
Sasa tumuamini Doctor wa wapi??? maaana mgomo hakuna:juggle:
Mara nyingi nimekuwa nikisema, haya masharti ya Waganga wa kienyeji, usipochanganya na za mbayuwayu, unaweza kujikuta pabaya sana! Mganga anaweza kukwambia ukienda kuiba benki ukiwa mtupu hutaonekana hata kama ni mchana kweupe!Na mbaya zaidi Waziri wa afya alishapeleka barua ya ku resign tatizo ni JK kampa kiburi
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.
Madaktari wasio na fikira. Hao hukumu yao kuuliwa kwa kila kifo cha mgonjwa kitakachotokea wakigoma.
Dr Wangu wa Muhimbili anasima
"" mgomo hakuna watu wanaendelea na kazi kama kawaida vikao bado vinaendelea"" mwisho wa kunukuu
Sasa tumuamini Doctor wa wapi??? maaana mgomo hakuna:juggle:
Anza kuuliwa wewe huna jipya,wewe ni nani mpaka utake mwenzio auliwe kama hupendi jiue haya yote hutayaonaHawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.
Habari nilizozipokea sasa hivi kwa njia ya SMS kutoka kwa doctor mmoja pale Mhimbili zinasema hivi,nanukuu,"Hii ya sasa ni bab kubwa responce ni 100% MPAKA EMERGENCY,intern ndio wamemaliza kikao chao cha kupeana moyo na specialist ndio wanaanza Russian culture nw..together we can make it" mwisho wa kunukuu sms niliyoipokea.
My take hivi serikali ina shindana na madaktari kwa ajili ya maslahi ya kisiasa? au inatakiwa kulinda afya za wananchi wake?
Maana kama mawaziri wamelalamikiwa na ni kweli wameshindwa kuwajibika kwa nini waendelee kuwepo hapo?na je inawezekanaje kupokea malalamiko ambayo kimsingi wao ndio wanalalamikiwa na kisha wakayafanyia kazi?
Nawasilisha wadau
Dr Wangu wa Muhimbili anasima
"" mgomo hakuna watu wanaendelea na kazi kama kawaida vikao bado vinaendelea"" mwisho wa kunukuu
Sasa tumuamini Doctor wa wapi??? maaana mgomo hakuna:juggle:
Hizo ni porojo tu, watabana wataachia kwa kuwa wengi wanafuata mkumbo wa frustrated individuals ambao they have nothing to lose
Hauna mgonjwa wako pale mhimbili aanze yeye kufa kama unashabikia badala ya kusikitikaHiyo imekaa vizuri,hadi kieleweke!!;