Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,833
Madaktari msijione kuwa nyie mmesoma sana kuliko wengine au fani yenu ni ya muhimu sana kuliko zingine. Fani zote ni muhimu kulingangana na mahitaji ya muda huo. Msitake kuiyumbisha nchi. Tumieni uzalendo kwa Taifa lenu!

Hizo ni porojo tu, watabana wataachia kwa kuwa wengi wanafuata mkumbo wa frustrated individuals ambao they have nothing to lose
Madaktari msijione kuwa nyie mmesoma sana kuliko wengine au fani yenu ni ya muhimu sana kuliko zingine. Fani zote ni muhimu kulingangana na mahitaji ya muda huo. Msitake kuiyumbisha nchi. Tumieni uzalendo kwa Taifa lenu!
ocean road tools down!!
mnaoshangilia mgomo nashindwa kuelewa akili zenu zinzfikri kwa kutumia nini? au na nyie mnatibiwa India watu wanakufa acheni ujinga wenu.naomba gomeni kwa awamu walau au tafuteni njia nyingine au mmetumwa na wanasiasa uchwara mtuuwe watu wa hali ya chini ili wauze madini yetu vizuri
nakubaliana na wewe mkuu, lakini hii selikali iliyoparaganyika kama kinyesi cha mbuzi, inasikia lugha gan zaidi ya migomo? Wanyonge acheni tufe kama kafara ya kiti cha Mponda na Nkya!mnaoshangilia mgomo nashindwa kuelewa akili zenu zinzfikri kwa kutumia nini? au na nyie mnatibiwa India watu wanakufa acheni ujinga wenu.naomba gomeni kwa awamu walau au tafuteni njia nyingine au mmetumwa na wanasiasa uchwara mtuuwe watu wa hali ya chini ili wauze madini yetu vizuri
Hapo ndipo ninaposhangaa...nchi inaendeshwa kienyeji-enyeji, kijinga-jinga, kiusanii-sanii, kiwizi-wizi...na katika yote hayo ni wananchi ndio wanaolipia gharama kwa kutaabika. Nchi nzima tunajua hilo, tunalilalamikia kila siku/saa/dakika/sekunde...angalia vyombo vya habari vyote ikiwemo mtandaoni! Tunapiga-piga kelele tu...tumeshashushuliwa kelele za mlango (wananchi) hazimnyimi usingizi mwenye nyumba (wenyenchi), bado tu tupo-tupo kama mazuzu!
Leo hii madaktari wametuonyesha ya kuaddress sensitive issues kwa serikali hii 'kiziwi' na 'pofu'...na kwa kubanwa huko serikali inaanza angalau kusikia na kuona....watu wanaona wivu na kuwabeza! Eti kwa nini maDaktari!? waTanzania mnataka nini!? Kama mnamsubiri 'mesiya' aje kuondoa kilio chenu sisi waKwere tunasema 'kalagha baho', endeleeni kusubiri!