Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti la leo la Nipashe ukurasa wa ishirini na nane mmoja wa wagomea ubunge amewakasirisha wazee wa meru kwa sababu ametoboa sikio kwa ajili ya kuvaa hereni.
Akili za mwanaasha hizi!rejao akiweka post kama hii inachomolewa fasta!!hamnaga hiyo kitu . Mbona mh ana disco ( bills ) na ni sehemu moja wapo ya kuharibu maadili ya vijana . Hizo nazo ni tabia njema ? Acheni hizo . Tushindane kwa hoja siyo kwa mambo yakipuuzi.
JF inamlinda sana huyu mh mwenye hiki kiwanja cha starehe!!
Siasa za bongo zimekuwa ngumu sana. Inspection mpaka kwenye masikio! Pengine ametoga kwa sababu za kiimani (faith). Siku hizi dini ziko nyingi!
yaweza kuwa sio kosa kwake na kwako lakini si tamaduni wa mahala na watu anaotaka kuwawakilisha, ni vema anaetuwakilisha akabeba uhalisia wetu na utamaduni wetu,wanaume wa meru hatutogi,hatusuki,hatuvai rubega, hili ni la msingi katika kutafuta wa kutuwakilisha...mwiteni aje awawakilishe ninyi mnaotoga masikio...hata ukahaba kwa baadhi ya nchi si kosa lakini kwa nchi yetu ni uvunjifu wa sheriaKihistoria kwenye makabila mengi sana Afrika wanaume wanasuka na wanawake wananyoa vipara. Rasta za boby Marley zilikuwa zinasokotwa lakini tafsiri yake na sangita za kimasai ni moja. Wanyamwezi zamani walikuwa wanasuka staili maarufu ya "twende kilioni" na kwa wale wanaofahamu historia wanywamwezi ni wasusi wazuri sana wa mikeka utamaduni waliouleta pwani ya Tnaganyika walipokuja kama watumwa au wapagazi wa wasaka watumwa!! Kutoga masikio si kosa kama dhamira ya mtogaji haimaanishi ushoga!!
mh acha ukuku wewe nani kakumbia bills ni sehem ya kuaribu maadili? Maadili unajiaribia mwenyewe co kumbi za starehe zinakuaribia... We baba ako kuna cku ataokota ela atajenga nyumba yenye swmnpul utamwambia anaharibu maadili hom kwa vivazi vyakuoge.
Utoboaji wake si ule wa kimila.Ule ni utoboaji wa kishoga.sinikawaida ya watu wa makabila hayo kutoboa masikio. Tumeyaona kwa wamasai wamang'ati waarusha wameru na kadhalika. Simkubali sioi ila hoja yakutoboa sikio nahisi haina mashiko pande hizo bt much respect kwa mchango wako
hakuna namna yeyote ya kulihalalisha hili...Siasa za bongo zimekuwa ngumu sana. Inspection mpaka kwenye masikio! Pengine ametoga kwa sababu za kiimani (faith). Siku hizi dini ziko nyingi!
Akili za mwanaasha hizi!
Kenge mwenye njaa hamjui mwanae!
sinikawaida ya watu wa makabila hayo kutoboa masikio. Tumeyaona kwa wamasai wamang'ati waarusha wameru na kadhalika. Simkubali sioi ila hoja yakutoboa sikio nahisi haina mashiko pande hizo bt much respect kwa mchango wako
hajatoboa japo hawakilishi wameruHivi sugu hajatoboa sikio ?
hajatoboa japo hawakilishi wameru
Tabia njema ni pamoja na matendo yako
Kosa halihalalishi kufanya kosa lingineHivi sugu hajatoboa sikio ?
Mkuu labda ndio njia pekee ya kujitofautisha na Watanzania washambahakuna namna yeyote ya kulihalalisha hili...
Kosa halihalalishi kufanya kosa lingine