Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

wadandiaji siku zote wanadandia nyuma . Samahani kama nimekudandia nyuma mkuu vumilia.

Mipasho me siiwezi mkuu maana hiyo ni kazi ya kina dada/mama tena wale wasio staarabika wala kuelimika!kwa heri endeleza mipasho,mimi nataka hoja
 
kama unataka hoja jibu hizo hapo juu sio unafata tu mkumbo .
 
wadandiaji siku zote wanadandia nyuma . Samahani kama nimekudandia nyuma mkuu vumilia.
Tafadhali kuwa na busara kama huna cha kuchangia acha wengine wachangie, usiharibu thread.
 
hapa ndipo tunaposema suala la kunyimwa misaada na camerun halituhusu sisi watz..maana mashoga wana haki zote kama kupiga kura,kupanda nao mabasi, misibani bila kutengwa na sasa kupitia serikali ya ccm na chama chao shoga amepata fursa ya kuchaguliwa ili akawasemee wameru..nadhani wameru ndio litakuwa kabila la kwanza tanzania kuwa na kiongozi shoga kama atachaguliwa..na hii inaweza kuwaweka kwenye rekodi ya kipekee kidunia hawa wameru na washiri..
 
jamani tajeni jina la huyo mgombea basi, au mnataka nisome tangu comment ya kwanza mpaka ya mwisho?
 
hapa ndipo tunaposema suala la kunyimwa misaada na camerun halituhusu sisi watz..maana mashoga wana haki zote kama kupiga kura,kupanda nao mabasi, misibani bila kutengwa na sasa kupitia serikali ya ccm na chama chao shoga amepata fursa ya kuchaguliwa ili akawasemee wameru..nadhani wameru ndio litakuwa kabila la kwanza tanzania kuwa na kiongozi shoga kama atachaguliwa..na hii inaweza kuwaweka kwenye rekodi ya kipekee kidunia hawa wameru na washiri..

hivi unauhakika gani mgombea ni shoga ? Kwanini unaongea bila kufikiri ? Ukishtakiwa kuna ubaya ? Au ukipewa ban kuna ubaya ? Tumia akili wacha kutumia oil chafu kichwani.
 
google Anders Borg usome habari zake huyu jamaa bila kusahau kuangalia picha yake!unaweza ukabadili mtizamo wako kuhusu muonekano wa mtu!
 
aloo..amekuja baba yangu kunisalimia hivi sasa hapa mjini arusha namuuliza vp huko nyumbani kampeni zinasemaje nimjuavyo toka zamani alikuwa ni mwanachama wa CCM hata wakati flani baada ya kustaafu alishawishiwa kugombea udiwani na chama chake, nikamuuliza swali la pili vp wewe utamchagua nani amrithi marehemu ndugu yako,? jibu alilonipa nimeshangaa hata yeye imekuwaje amelipa uzito kiasi hicho swala kama hilo...
haya yalikuwa maelezo yake, siwezi mchagua mtu anayenipa shida kujua jinsia yake...akaniambia aliwahi kumtembelea marehemu nyumbani kwake, hakuweza kukubali kuwa yule alikuwa mtoto wa sumari kwa jinsi alivyokuwa amejiweka,kimavazi na kimikao...

duuuh hata angekuwa na busara zaidi ya nyerere hili pekee ndilo litakalo muangusha kama si kumnyima kabisa nafasi ya kuwa na nyazifa yeyoye katika jamii nje ya CCM
 
Mgombea wa Chama cha Mashoga
Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti la leo la Nipashe ukurasa wa ishirini na nane mmoja wa wagomea ubunge amewakasirisha wazee wa meru kwa sababu ametoboa sikio kwa ajili ya kuvaa hereni.
 
google Anders Borg usome habari zake huyu jamaa bila kusahau kuangalia picha yake!unaweza ukabadili mtizamo wako kuhusu muonekano wa mtu!

achana nao bwana , hawana hoja hawa . Wameona mambo ni magumu wanaleta habari za kijinga na kitoto .
 
Kiukweli, hiyo hoja haina mashiko, ni namna 2 ya kuongeza political landscape yako. What matters is ur ability 2 deliver. During these times, such petty things must be completely disregarded. We have seen pastors and sheikhs with controversial moral values. I'm not supporting siyoi's political side, but it's not fair 2 judge him using such a criteria. Although Kwenye siasa za ushindani hii ni poa sana kumfunika mpinzani wako. Ni maoni yangu tu wadau.
 
umeongea kwa busara sana mkuu.
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti la leo la Nipashe ukurasa wa ishirini na nane mmoja wa wagomea ubunge amewakasirisha wazee wa meru kwa sababu ametoboa sikio kwa ajili ya kuvaa hereni.

labda ni yule mgombea kupia TLP, bwana Chipaka. Ni mmasai
 
Sioi arudishwe darasani au apitie tena kidato Cha 3 akasome Topic ya Leadership,kwa kumsaidia zaidi ajue Qualities and Duties of Goodleadership.
Tena hilo darasa akarudie hukohuko kwao Kenya,
Hapa hatutaki wahuni.
 
Back
Top Bottom