Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

kuna yule Jaji mmoja wa Kenya alileta mjadala mkubwa sana kwa kutoboa masikio
 
Tukubali tukatae utamaduni wa kutoboa sikio sio wa mtanzania wa sasa na hata kwa Mmasai unaishia kwawale vijana 70's wanaotoboa masikio lazima ni tabia ya Western Amerika na wao huko tunajua chanzo na mapokezi yamekuwa kwa vijana wa dizaini zipoi sasa kama kuna mtu anawaongoza au anataka kuongoza wananchi ametoboa sikio na ni wa kuzaliwa miaka ya 70's - 2000 hatufai kabisa hilo sikio kutoboa linaonyesha alipokea vipi hiyo fasheni na kuacha kukumbuka malezi ya utamaduni na watu wake.

Hapo hakuna cha Sikio linaongoza wala kusikia. Ukitaka kumjua mtu tabia yake angalia mavazi yake, maongezi yake na hata tembea yake pamoja na marafiki zake judgment yetu ndio hiyo ilihali sisi hatukukua naye ndio tunamuona kwa mara ya kwanza yaani tunamuintaview, honestly kwa ubunge big NOOOOOOO!!!!!
 
Naona mmekosa hoja mmeingia kwenye masikio . Kwani ubunge unaongozwa na masikio ? Acheni kuongea ujinga kama mnakunywa komoni . Alaah !!!

Na kwenye ile idara ya u cameron na elton john je?
 
sinikawaida ya watu wa makabila hayo kutoboa masikio. Tumeyaona kwa wamasai wamang'ati waarusha wameru na kadhalika. Simkubali sioi ila hoja yakutoboa sikio nahisi haina mashiko pande hizo bt much respect kwa mchango wako
nijuavyo wameru na wamasai they hav nothing in common kwenye maswala ya culture,natokea huko
 
Sioi arudishwe darasani au apitie tena kidato Cha 3 akasome Topic ya Leadership,kwa kumsaidia zaidi ajue Qualities and Duties of Goodleadership.
mkuu umenena ingekuwa ni vizuri ukatuwekea hizo sifa za kiongizi ili uweze kuwaelimisha wana jf
 
Kwa kuwa ni swala linaloendana na imani za Kiitikadi hapa hata wanaochukia hili watalitetea tu kwa sababu ya Itikadi; mleta hoja ungeenda mbele zaidi kwa kutaja jina la muhusika manake nadhani hata kwenye hilo gazeti atakuwa ametajwa. Watanzania mmekuwa wakali sana kwa kauli za Magharibi juu ya conditions tunazotakiwa kuzifuata kama tukihitaji misaada toka kwao, kama hatutakuwa tayari kuachana na Itikadi na kuona ama ubaya au madhara ya kutoga sikio tuanze kujiandaa kukubaliana na hayo ya Magharibi.

Ila yule Jaji Mkuu wa Kenya alishawahi kusema namnukuu "nikiulizwa nichague kipi kati ya hereni yangu na Ujaji Mkuu basi ntachague hereni."
 
hamnaga hiyo kitu . Mbona mh ana disco ( bills ) na ni sehemu moja wapo ya kuharibu maadili ya vijana . Hizo nazo ni tabia njema ? Acheni hizo . Tushindane kwa hoja siyo kwa mambo yakipuuzi.
rejao akiweka post kama hii inachomolewa fasta!!
JF inamlinda sana huyu mh mwenye hiki kiwanja cha starehe!!
 
Tukubali tukatae utamaduni wa kutoboa sikio sio wa mtanzania wa sasa na hata kwa Mmasai unaishia kwawale vijana 70's wanaotoboa masikio lazima ni tabia ya Western Amerika na wao huko tunajua chanzo na mapokezi yamekuwa kwa vijana wa dizaini zipoi sasa kama kuna mtu anawaongoza au anataka kuongoza wananchi ametoboa sikio na ni wa kuzaliwa miaka ya 70's - 2000 hatufai kabisa hilo sikio kutoboa linaonyesha alipokea vipi hiyo fasheni na kuacha kukumbuka malezi ya utamaduni na watu wake.

Hapo hakuna cha Sikio linaongoza wala kusikia. Ukitaka kumjua mtu tabia yake angalia mavazi yake, maongezi yake na hata tembea yake pamoja na marafiki zake judgment yetu ndio hiyo ilihali sisi hatukukua naye ndio tunamuona kwa mara ya kwanza yaani tunamuintaview, honestly kwa ubunge big NOOOOOOO!!!!!
Hili ndilo haswa la kutizamwa, huwezi kumwambia dokta avae kaptula na kusema eti kwani mavazi ndo yanatibu, nakumbuka kenya iliwasumbua sana pale jamaa aliyetoga kutaka kupewa ujaji mkuu
 
hamnaga hiyo kitu . Mbona mh ana disco ( bills ) na ni sehemu moja wapo ya kuharibu maadili ya vijana . Hizo nazo ni tabia njema ? Acheni hizo . Tushindane kwa hoja siyo kwa mambo yakipuuzi.
rejao akiweka post kama hii inachomolewa fasta!!
JF inamlinda sana huyu mh mwenye hiki kiwanja cha starehe!!
 
Atakuwa sioi huyo sio mwingine...hiivi huyu mgombea akizaa mtoto akamwita nimesema
jina lake shuleni litasomekaje??
 
rejao akiweka post kama hii inachomolewa fasta!!
JF inamlinda sana huyu mh mwenye hiki kiwanja cha starehe!!

mkuu mbona kuna demokrasia ya kutosha humu ndani ? Wasiwasi wako tu.
 
Kwa kuwa ni swala linaloendana na imani za Kiitikadi hapa hata wanaochukia hili watalitetea tu kwa sababu ya Itikadi; mleta hoja ungeenda mbele zaidi kwa kutaja jina la muhusika manake nadhani hata kwenye hilo gazeti atakuwa ametajwa. Watanzania mmekuwa wakali sana kwa kauli za Magharibi juu ya conditions tunazotakiwa kuzifuata kama tukihitaji misaada toka kwao, kama hatutakuwa tayari kuachana na Itikadi na kuona ama ubaya au madhara ya kutoga sikio tuanze kujiandaa kukubaliana na hayo ya Magharibi.

Ila yule Jaji Mkuu wa Kenya alishawahi kusema namnukuu "nikiulizwa nichague kipi kati ya hereni yangu na Ujaji Mkuu basi ntachague hereni."
Mkuu mgombea ni wa chama changu
 
hamnaga hiyo kitu . Mbona mh ana disco ( bills ) na ni sehemu moja wapo ya kuharibu maadili ya vijana . Hizo nazo ni tabia njema ? Acheni hizo . Tushindane kwa hoja siyo kwa mambo yakipuuzi.

mh acha ukuku wewe nani kakumbia bills ni sehem ya kuaribu maadili? Maadili unajiaribia mwenyewe co kumbi za starehe zinakuaribia... We baba ako kuna cku ataokota ela atajenga nyumba yenye swmnpul utamwambia anaharibu maadili hom kwa vivazi vyakuoge.
 
rejao akiweka post kama hii inachomolewa fasta!!
JF inamlinda sana huyu mh mwenye hiki kiwanja cha starehe!!
inamwingizia kipato bila kuvunja sheria ya nchi,aliyetoga masikio anapata kipato,..ok anaweza kuwa anapata sie hatujui bwana cameruni aliwapa mbinu nyingine za kujiongezea kipato,je ni kufuatana na sheria za nchi?
 
Kihistoria kwenye makabila mengi sana Afrika wanaume wanasuka na wanawake wananyoa vipara. Rasta za boby Marley zilikuwa zinasokotwa lakini tafsiri yake na sangita za kimasai ni moja. Wanyamwezi zamani walikuwa wanasuka staili maarufu ya "twende kilioni" na kwa wale wanaofahamu historia wanywamwezi ni wasusi wazuri sana wa mikeka utamaduni waliouleta pwani ya Tanganyika walipokuja kama watumwa au wapagazi wa wasaka watumwa!! Kutoga masikio si kosa kama dhamira ya mtogaji haimaanishi ushoga!!
 
Hili la kutoga masikio lilipaswa kutizamwa wakati wa kura za maoni,na kama lilitazamwa na kuonekana la kawaida basi tunaweza sasa ku conclude kuwa ndio mapokeo mapya ya CCM, naweza kuwaza walichojitetea...ati Utandawazi!!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom