Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

April kumi Sioi Sumari anakwenda kuapishwa. Anayebisha aombe uzima mpaka siku hiyo. CCM NI NA ONE

Yani huyu jamaa mwepesi sana..kumbe ndio maana wabunge na wanachama wa CCM wanaogopa kujiunga hapa JF..nadhani ule usemi wa M/Kiti wetu jana alikuwa ajakosea..kichwa kimoja cha CDM ni sawa na vichwa 30 vya CCM..Hebu angalia hii hoja ya huyu jamaa vey week no evidence,just blabla za facebook...Kajifunze kuandika kwenye majukwaa makini kama haya mkuu..nadhani wabunge wa CCM mnahitaji semina elekezi muache kupiga kelele bila kuwa na evidence za hoja zenu..naomba mshauri ndugu yako Lusinde ajiunge hapa JF tupate watu wa kutuchekesha maana sioni ulichoandika hapo..
 
mkuu kwani mombasa kuna nini

Muulize Sioi anajua shughuli ya Mombasa..na I heard kwamba jina Sioi ni kwasababu ya kukaa Mombasa,ni aka yake baada ya kupata shughuli ya watu wa Pwani akaghairi kabisa kuoa.....
 
Kwan kutoga ni tatizo,kenya mwanasheria mkuu nae katoga,shindana kwa hoja na si personality.
 
Jamaa kaishi sana Kenya, natumai alikuwa anapenda kujipumzisha Mombasa, hili linafahamika sifa za huko pengine zilimuasiri kiasi kikubwa hadi kujiona anafaa kuvaa heleni kama dada zetu.
 
WAMERU HAWATOGI MASIKIO... KIONGOZ YEYOTE NI ROLEMODEL KWA VIJANA NA JAMII KWA UJUMLA.... JE SIOI ATAKUWA ANAWAFUNDISHA NIN? AU NDIO CCM WAMEMSIMAMISHA ILI KUMWAKIKISHIA CAMEROON kuwa WAMEKUBALI KUTEKELEZA MASHARTI WALIYOPEWA? MPAKA MBUNGE MWENYE HIZO TABIA YUPO.... HII HAIKUBALIKI?
 
Mkuu hao watu unafikiri wanajua hiyo kitu?sugu alikua anaweka magnetic earrings na si kua alitoboa sikio!wao wakiona mtu kavaa hereni wanajua katoboa sikio!kukosa exposure mbaya sana,ebu mtupie hiyo link ya youtube lumpen mmoja humu anaongea utumbo anaitwa Bucho

mkuu mi sikatai naweza kuwa lumpen au Phantom na sijaenda shule . Mi sijui we umesoma au umesomea mazingaumbwe maana hainihusu. Naomba nijibu swali moja tu mkuu , Kutoboa masikio au kutotoboa masikio kuna uhusiano gani nakuleta maendeleo ya Arumeru . Ukishindwa kunijibu utakuwa mjinga zaidi yangu mimi . Pu...o madre .
 
ume ziirisha nimjinga.shoga awezi leta maendeleo,kwa sababu moja kubwa(atakua akimkumbukatu mumewe uko mombasa ata mfuata,hataweza watumikia wana nchi wa Arumeru.
 
Kweli JF kunaburudani ngoja nikalale
Jamani muacheni kijana wa watu kwanza Aoi unategemea nini hapo.
 
Mimi ni mmeru na napenda nikuhakikishie kuwa kwetu wanaume hawatoboi masikio; halafu, hata kwa hao wamasai unaosema, utoboaji ni tofauti na ule wa mwanamke anayetoboa ili afae hereni kama alivyotoboa mgombea huyu.
Ni kashfa isiyokwepeka!
 
Back
Top Bottom