sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,895
- 5,308
EPA, ESCROW,CAG nk hapo huo sio ufisadi
Mkuu haya maswali huwa hawajibu, ishu kwao ni Richmond na ugonjwa wa LOWASA, nadhani vimeandikwa mahali kwenye ilani yao.
EPA, ESCROW,CAG nk hapo huo sio ufisadi
Samia Suluhu maeneo anayopiga Campaign hakika CCM haitapata kura Magufuli asipopita basi matokeo yataamuliwa mapema sana. Ile Kasumba ya mwanamke hawezi ndiyo imetawala sana huyu mwanamke haaminiki na Amepiga campaign Arusha, Kilimanjaro,Dodoma na Singida Jinamizi la Lowassa likipita huko wakati wa nyakati za mwisho wataadhirika sana mwisho uwe unatembea na Magufuli hilo Domo lako halitakusaidia.
Mbaya zaidi kule kwao zanzibar wengi kama sio wote ni waislam ukitoa wachache wakristo na wasio na dini na dini nyingine, kwa waislam mwanamke huwa hawi kiongozi hata dunia igeuke juu chini na hata wanawake wenzao wanajua hilo, kwa hilo magufuri ahesabu maumivu, pili aliwatibua wazanzibari kwa kuiba kura bunge la katiba ili akidi itimie, hiyo pia ni hasara kwake.Hapo ccm wameshakosa kura za wanawake mana huwa ngumu kumpigia mwanamke mwenzao. Pia perception ya jamii kwa mwanamke. Hapo wamebugi babu duni ana mafuriko hadi mikoa ka Tanga bagamoyo kuliko ngome ya CCM.
badili gia angani jiunge na upande wa washindihasa jaman tufanyeje mana naona kama tushashindwaaa
Napinga wewe sio CCM damu
Hapo ccm wameshakosa kura za wanawake mana huwa ngumu kumpigia mwanamke mwenzao. Pia perception ya jamii kwa mwanamke. Hapo wamebugi babu duni ana mafuriko hadi mikoa ka Tanga bagamoyo kuliko ngome ya CCM.
mkuu unataka mpaka niweke kadi yangu humu ndio uamini??
Unaweza kuweka hata ya babu yako
Ccm itashinda kwa kishindo