Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,322
- 13,765
Samia Suluhu maeneo anayopiga Campaign hakika CCM haitapata kura Magufuli asipopita basi matokeo yataamuliwa mapema sana. Ile Kasumba ya mwanamke hawezi ndiyo imetawala sana huyu mwanamke haaminiki na Amepiga campaign Arusha, Kilimanjaro,Dodoma na Singida Jinamizi la Lowassa likipita huko wakati wa nyakati za mwisho wataadhirika sana mwisho uwe unatembea na Magufuli hilo Domo lako halitakusaidia.