Mgombea mwenza kumwangusha Magufuli

Mgombea mwenza kumwangusha Magufuli

Mume wa nini nisipoandika historia yoyote nchini? Mume nitaacha tu historia wa watoto,ambao nikiamua naweza ku adopt ila nchi na dunia kwaujumla wanamsikia huyu mama, wengine mnaishi kwaajiri ya wake na waume zenu wengine tunaishi kwaajiri ya ku touch the lives of the people and make history even when we are gone majina yetu yaendelee kuwepo miaka nenda rudi, ila kama jina utalipata kwasababu yakua na mume basi ukifariki ndio mwisho wako (what a boring life). When I die I want the world to know that I was here na huyo mama ndio anachokifanya.

Unasumbuliwa na ugonjwa wa Stress za kutoswa.
 
Unasumbuliwa na ugonjwa wa Stress za kutoswa.

Wewe unasumbuliwa na stress zakutokua na dreams kwanza nawaonea hata hao wanawake zako wanaoweza kua na mwanaume kama wewe unaeishi kwaajiri ya Lowasa kukuleta mabadiriko. Shame on you.
 
Wewe unasumbuliwa na stress zakutokua na dreams kwanza nawaonea hata hao wanawake zako wanaoweza kua na mwanaume kama wewe unaeishi kwaajiri ya Lowasa kukuleta mabadiriko. Shame on you.

Mimi nakuonea huruma wewe uliyekalilishwa kama kasuku HAPA KAZI TU, wakati hata kibaruwa cha buku 7 per day huna.
 
Mimi nakuonea huruma wewe uliyekalilishwa kama kasuku HAPA KAZI TU, wakati hata kibaruwa cha buku 7 per day huna.

Hahaha shame on you, mimi nina mshahara kila mwezi na pension nikistaff nitapata kwa raha zangu, nilipomaliza tu chuo nilipata ajira kwasababu nilifaulu vizuri sio ufaulu wakwako waku cram kwanza wewe kama umefika chuo utakua na sup zakutosha na ufaulu wako ni C.
 
Mimi ni Form four graduate & am proud of my self, huo mshahara unalipwa kwa kushinda hapa JF na sisi majobless?
 
Mimi ni Form graduate & am proud of my self, huo mshahara unalipwa kwa kushinda hapa JF na sisi majobless?

Eti form graduate hata ujui unachokisema kwhiyo hiyo ndio nini. Kwasisi wenye ajira zetu kuna kitu kinaitwa leave na mwaka huu nimechukua paid leave nipo home napumzika na hela juu.
 
Eti form graduate hata ujui unachokisema kwhiyo hiyo ndio nini. Kwasisi wenye ajira zetu kuna kitu kinaitwa leave na mwaka huu nimechukua paid leave nipo home napumzika na hela juu.

Kaa na ajira yako sisi majobless tusio na ajira mwaka huu tutawaonesha the power of stupid people in the large number. Mtachambia bunzi october 25.
 
Kweli elimu yetu ni janga, sasa hapa umesema au umeandika?

Sina mda wakupoteza kujibizana na wewe hao wapenzi wako wasio na mbele wala nyuma ndio saizi yako. I am way up for you endelea kusubiri Lowasa akuletee mabadiriko. Sisi wengine hapa ni kazi tu kujiletea mabadiriko.
 
Kuna sababu 3 zitakazopelekea CCM ianguke kwa kuwa na mgombea mwenza mwanamke:

1. Mfumo dume bado una nguvu katika makabila mengi hususani vijijini. Wananchi wengi hawaamini kama wanaweza kuongozwa na rais mwanamke hivyo kumnyima kura.

2. Kushindwa kwa Bi.Anne Makinda katika kulisimamia bunge lililopita ambalo lilitawaliwa na ubabe na kubebwa CCM. Ni katika bunge hili wananchi wameshuhudia sheria mbalimbali za hovyo zikipitishwa kibabe na serikali chini ya ulinzi mkali wa spika Anne.

3. Mgombea mwenza ndiye alikuwa makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba; chini ya usimamizi wake tulishuhudia kanuni zikivunjwa ili kuichakachua katiba ya wananchi.

Ni katika kipindi hicho tulishuhudia matusi, kejeli, na vitimbi kutoka kwa wajumbe, huku wakitetewa na uongozi wao. Na kutokana na uchakachuaji huo ndipo ukawa ilizaliwa rasmi chini ya mgombea huyu.

Leo hii anaenda kwa wananchi waliotoa maoni ya katiba kutaka achaguliwe urais...ccm na Magufuli mnalo mwaka huu.

Magufuli anajiangusha mwenyewe na huyo mama anajiangusha kivyake. Hii ni habari ya kweli kwamba jamaa sio mwana siasa. Tanzania tuna shindwa kutofautisha siasa na ufanya kazi bora. Siasa zina watu wake na magufuli si mmoja wao. Nyerere pamoja na kuwa Mwalimu lakini siasa ilikuwa ndani yake kitu ambacho kipo wazi kwa Lowassa pia.
 
Sina mda wakupoteza kujibizana na wewe hao wapenzi wako wasio na mbele wala nyuma ndio saizi yako. I am way up for you endelea kusubiri Lowasa akuletee mabadiriko. Sisi wengine hapa ni kazi tu kujiletea mabadiriko.

Lowasa Mabadiriko, Mabadiriko Lowasa ndio habari ya mujini.
Tunasubiri kupata elimu ya bure msingi mpaka chuo kikuu na matibabu bure, nyinyi mnaonufaika na unyonyaji kaeni na liccm lenu na mmeshaanza kuwatoa watu kafara Morogoro mashetani wakubwa kabisa.
 
Magufuli anajiangusha mwenyewe na huyo mama anajiangusha kivyake. Hii ni habari ya kweli kwamba jamaa sio mwana siasa. Tanzania tuna shindwa kutofautisha siasa na ufanya kazi bora. Siasa zina watu wake na magufuli si mmoja wao. Nyerere pamoja na kuwa Mwalimu lakini siasa ilikuwa ndani yake kitu ambacho kipo wazi kwa Lowassa pia.

Inahitaji akili ya maiti kumpigia kura Makufuri.
 
Huyo mama kaanzisha sera ya vitisho kutia watu hofu, eti Libya na Syria, kwani hapa ni Libya??
Vitisho vya MaCCM vya 2010 kuleta Video za vita ya Rwanda na Congo!!
Eti watu wasipigie kura upinzani, Maghufuli naye anaiga na kueneza hofu!!
Watu hadi vijijini wamewachoka MaCCM, wanangoja 25/10/ 2015
Kuwapiga chini!!
 
Back
Top Bottom