radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Wala usiumie Mkuu. Mafuriko hayo unayoyaona kwa babu duni wanaenda kuangalia comedy. Jamaa anavyoongea huwezi kumtofsutisha na akina Kingwendu
comedy inuza angalia wakina masanja na joti saaafi
Wala usiumie Mkuu. Mafuriko hayo unayoyaona kwa babu duni wanaenda kuangalia comedy. Jamaa anavyoongea huwezi kumtofsutisha na akina Kingwendu
Wala usiumie Mkuu. Mafuriko hayo unayoyaona kwa babu duni wanaenda kuangalia comedy. Jamaa anavyoongea huwezi kumtofsutisha na akina Kingwendu
Wanaokwenda kuangalia comedy ni kama Kyle Morogoro mliko UA watu kwa kuwafungia milango eti wasitoke.Wala usiumie Mkuu. Mafuriko hayo unayoyaona kwa babu duni wanaenda kuangalia comedy. Jamaa anavyoongea huwezi kumtofsutisha na akina Kingwendu
Napinga wewe sio CCM damu
Hakuna siku ambayo nilifurahi baada ya kuona tumepata mgombea mchapa kazi c John Pombe Magufuli, siku hiyo ilikuwa nzuri baada ya kuona maguful kaingia tatu bora baada ya kuwashinda makamba na membe.
Lakini siku hiyo baada ya masaa machache iligeuka kuwa chungu baada ya kutangazwa Samia Saluhu kuwa msaidizi wa magufuli, niliumia sana, nilichukia na kukosa usingizi. Lakini rafiki yangu akaniponza na kuniambia anaweza kuwa kivutio kwa wanawake na hivyo kupendwa. Nikasema sidhan embu tusubiri, lakini mpaka sasa bado sijaona haya ambayo rafiki yangu alitarajia kuyaona.
Mikutano yake haina mvuto kabisa, yani nikiangalia hawa Ukawa, mafuriko ya babu duni ndo napata wazimu, napata preshaa, natamani ningekuwa ukawa lakini nashindwaa.
Najiuliza kwa nini wasimchukue Augustino ramadhani? au hata mzanzibar yoyote mwenye ushawishiiii?? mliniboa sana siku ile
Kiukweli ccm wenzangu tukiacha unafiki hapa tumebugi cha kuomba hapa ni mungu atusaidie tushinde mana presha ipo juu sana.
mama wa LIKATIBA LA CCMHakuna siku ambayo nilifurahi baada ya kuona tumepata mgombea mchapa kazi c John Pombe Magufuli, siku hiyo ilikuwa nzuri baada ya kuona maguful kaingia tatu bora baada ya kuwashinda makamba na membe.
Lakini siku hiyo baada ya masaa machache iligeuka kuwa chungu baada ya kutangazwa Samia Saluhu kuwa msaidizi wa magufuli, niliumia sana, nilichukia na kukosa usingizi. Lakini rafiki yangu akaniponza na kuniambia anaweza kuwa kivutio kwa wanawake na hivyo kupendwa. Nikasema sidhan embu tusubiri, lakini mpaka sasa bado sijaona haya ambayo rafiki yangu alitarajia kuyaona.
Mikutano yake haina mvuto kabisa, yani nikiangalia hawa Ukawa, mafuriko ya babu duni ndo napata wazimu, napata preshaa, natamani ningekuwa ukawa lakini nashindwaa.
Najiuliza kwa nini wasimchukue Augustino ramadhani? au hata mzanzibar yoyote mwenye ushawishiiii?? mliniboa sana siku ile
Kiukweli ccm wenzangu tukiacha unafiki hapa tumebugi cha kuomba hapa ni mungu atusaidie tushinde mana presha ipo juu sana.
huna lolote itikadi za uamsho na chuki hazina nafasi. wapi wamesema akina mama kwenywe uislaam hawana haki kuongoza. jamhuri ya kiislaam ya iran kama hujui makamu wa rais ni mwanamke. ni msomi mwenye ufahamu mkubwa utashangaa. suluhu samia ni mwanamama madhubuti kabisa na ana mvuto kisiasa. mtalia tu mwaka huu kama kawaida.Mbaya zaidi kule kwao zanzibar wengi kama sio wote ni waislam ukitoa wachache wakristo na wasio na dini na dini nyingine, kwa waislam mwanamke huwa hawi kiongozi hata dunia igeuke juu chini na hata wanawake wenzao wanajua hilo, kwa hilo magufuri ahesabu maumivu, pili aliwatibua wazanzibari kwa kuiba kura bunge la katiba ili akidi itimie, hiyo pia ni hasara kwake.
Kuhusu muungano wazanzibari wote wako kitu kimoja sio ccm wala kafu wanataka serikali 3,ccm sio tu kwamba walichemka ila kwa kiburi chao baada ya kuona wamemkata bwan mafuriko wakajua kila kitu mteremko wanaweza kupitisha hata kenge akashinda uchaguzi,sasa yamewatokea puani.
Ccm nendeni kuzimu.
Kinana kweli mwanajeshi, kamtanguliza mama mikoa ya kaskazini kupima upepo. Halafu ataenda yeye mwenyewe kuwaweka sawa halafu ndo kitu Alinselema kifuate kumaliza mchezo.
Hakuna siku ambayo nilifurahi baada ya kuona tumepata mgombea mchapa kazi c John Pombe Magufuli, siku hiyo ilikuwa nzuri baada ya kuona maguful kaingia tatu bora baada ya kuwashinda makamba na membe.
Lakini siku hiyo baada ya masaa machache iligeuka kuwa chungu baada ya kutangazwa Samia Saluhu kuwa msaidizi wa magufuli, niliumia sana, nilichukia na kukosa usingizi. Lakini rafiki yangu akaniponza na kuniambia anaweza kuwa kivutio kwa wanawake na hivyo kupendwa. Nikasema sidhan embu tusubiri, lakini mpaka sasa bado sijaona haya ambayo rafiki yangu alitarajia kuyaona.
Mikutano yake haina mvuto kabisa, yani nikiangalia hawa Ukawa, mafuriko ya babu duni ndo napata wazimu, napata preshaa, natamani ningekuwa ukawa lakini nashindwaa.
Najiuliza kwa nini wasimchukue Augustino ramadhani? au hata mzanzibar yoyote mwenye ushawishiiii?? mliniboa sana siku ile
Kiukweli ccm wenzangu tukiacha unafiki hapa tumebugi cha kuomba hapa ni mungu atusaidie tushinde mana presha ipo juu sana.
MEMBER OF PARLIAMENT CV
GENERAL
Salutation Hon. Member picture
First Name: Samia
Middle Name: Hassan
Last Name: Suluhu
Member Type: Elected Member
Constituent: Makunduchi
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 3021, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 774 010 203/+255 784 717 712 Office
Fax:
Office E-mail: ssuluhu@parliament.go.tz
Member Status: Active
Date of Birth 27 January 1960
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Mahonda Primary School, Unguja CPEE 1972 1972 Primary
School
Chwaka Primary School, Unguja CPEE 1966 1968 Primary
School
Ziwani Primary School, Pemba CPEE 1970 1971 Primary
School
Lumumba Secondary School, Unguja CSEE 1976 1976 Secondary
School
Ngambo SecondarySchool, Unguja CSEE 1973 1975 Secondary
School
Institute of Management for Leaders,
Hyderabad, India Management Course 1991 1991 Certificate
Zanzibar Institute of Financial
Administration, ZIFA Statistics 1983 1983 Certificate
National Institute of Public
Administration, Lahore Pakistan Course 1989 1989 Certificate
Institute of Development
Management, IDM, Mzumbe
(Morogoro)
Advanced Diploma 1983 1986 Advanced
Diploma
Manchester University, London Postgraduate 1992 1994 Postgraduate
Diploma
Open University Southern New
Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters
Degree
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
The Parliament of Tanzania Member - Makunduchi Constituency 2010 2015
Ministry of Tourism, Trade and Investment, Zanzibar Minister 2005 2010
Ministry of Labour, Gender Development and Children Minister 2000 2005
Mwamvuli wa NGO Managing Director 1998 1999
Revolutionary Government of Zanzibar Planning Officer 1987 1988
World Food Programme, WFP - Zanzibar Project Manager 1985 1997
Revolutionary Government of Zanzibar Typists (Typing Pool) 1977 1986
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Unguja
Region 2009 Todate
Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Pemba
Region 2004 2007
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive
Committee (NEC) 2002 Todate
Jamani natamani kua kama huyu mama.
Usiwe na Mume.