Abramovic
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 324
- 610
Ngoja tumsubili fisadi mkuu na kubwa la makapi Lowassa kama hatasoma hotuba yake kwenye karatasi na degree yake ya Sanaa na maigizo. Lowassa hata akiitwa kutoa neno kwenye birthday anasoma karatasi tena bado anakoseakosea kusoma kama mtoto anaejifunza kusoma. So kabla hujamnyooshea kidole mwenzio, toa kwanza kibanzi kwenye jicho lako. Huu ni mwaka wa Magufuli na Samiah whether you like or not!