afadhali hata kile kilichokuwa kikiongoza bunge kuliko huyu maiti.
Kuna sababu 3 zitakazopelekea CCM ianguke kwa kuwa na mgombea mwenza mwanamke:
1. Mfumo dume bado una nguvu katika makabila mengi hususani vijijini. Wananchi wengi hawaamini kama wanaweza kuongozwa na rais mwanamke hivyo kumnyima kura.
2. Kushindwa kwa Bi.Anne Makinda katika kulisimamia bunge lililopita ambalo lilitawaliwa na ubabe na kubebwa CCM. Ni katika bunge hili wananchi wameshuhudia sheria mbalimbali za hovyo zikipitishwa kibabe na serikali chini ya ulinzi mkali wa spika Anne.
3. Mgombea mwenza ndiye alikuwa makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba; chini ya usimamizi wake tulishuhudia kanuni zikivunjwa ili kuichakachua katiba ya wananchi.
Ni katika kipindi hicho tulishuhudia matusi, kejeli, na vitimbi kutoka kwa wajumbe, huku wakitetewa na uongozi wao. Na kutokana na uchakachuaji huo ndipo ukawa ilizaliwa rasmi chini ya mgombea huyu.
Leo hii anaenda kwa wananchi waliotoa maoni ya katiba kutaka achaguliwe urais...ccm na Magufuli mnalo mwaka huu.
Bulembo ni standard Seven???!! HahahaMama amekata tamaa, kila anapoenda hukalishwa hotelini siku tatu,madira yashonwe,wapelekewe kina mama wahudhurie.
Magufuli yupo hoi na darasa la saba wake BULEMBO.
CCM IPO TAABANI
Sio la saba ni nne!
Wewe unasumbuliwa na stress zakutokua na dreams kwanza nawaonea hata hao wanawake zako wanaoweza kua na mwanaume kama wewe unaeishi kwaajiri ya Lowasa kukuleta mabadiriko. Shame on you.
Lowasa Mabadiriko, Mabadiriko Lowasa ndio habari ya mujini.
Tunasubiri kupata elimu ya bure msingi mpaka chuo kikuu na matibabu bure, nyinyi mnaonufaika na unyonyaji kaeni na liccm lenu na mmeshaanza kuwatoa watu kafara Morogoro mashetani wakubwa kabisa.
Kumbe Ndio maana kina Bashiru walitaka kumpindua asiapishwe ..Kuna sababu 3 zitakazopelekea CCM ianguke kwa kuwa na mgombea mwenza mwanamke: