Lowasa ameingia ukawa kuua upinzani,maana sasa wapinzani hawana ujasiri wa kukemea ufisadi,maana mafisadi wamevamia ukawa
Ccm ishashindwa mpaka sasa, makufuli anaonekana ameshakata tamaa, huyu mama (Suluhu) nae hana mchango wowote, wananchi hawamwelewi kabisa. Hana mvuto kabisa, na yeye ameshajikatia tamaa. Ni kama vile magufuli Hana mgombea mwenza.
Tatizo la nchi hii ni zaidi ya Ufisadi......Tatizo kuu ni CCM..Hio ndio ROOT CAUSE
Ukiitoa CCM umemaliza kila kitu
====Lowasa ameingia ukawa kuua upinzani,maana sasa wapinzani hawana ujasiri wa kukemea ufisadi,maana mafisadi wamevamia ukawa
Senior bachelor...vice president
Lowasa ameingia ukawa kuua upinzani,maana sasa wapinzani hawana ujasiri wa kukemea ufisadi,maana mafisadi wamevamia ukawa
Kwa hiyo mnaondoa mafisadi kwa kutuletea mafisadi wengine?hii akili gani