Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Usiniingize kwenye hoja za Uamsho. Hunipati huko ng'o.
Kuna uamsho hapo kumbe wewe ni mtoto wa lumumba
Usiniingize kwenye hoja za Uamsho. Hunipati huko ng'o.
What has CCM done to Zanzibar? Please don't use hyperboles you cannot justify.
Ni mchezo gani huu mchafu unaouzungumzia hapa?
- Kurudia uchaguzi ni mchezo mchafu?
- Je, kutangaza matokeo yenye utata ndio mchezo safi?
Grow up!
Unajionyeaha ranging yako halisi maisha huelewi unachosema au umefunikwa na UK Ada wa Lumumba, hivi mauaji ya Zanzibar ya mwaka 2001 hadi wakatokea wakimbizi kile shimoni ,Mombasa Kenya Wewe kwa macho yako ya ki CCM hukusikia?Katika aya yako ya kwanza umetuhumu watu kufanya makosa ya jinai (kuua). Kama una ushahidi basi fungua kesi Tanzania au nje ya Tanzania uwashitaki hawa watuhumiwa.
Katika aya yako ya pili, wewe unaona uhuru utapatikana Zanzibar pale tu CUF watakaposhinda. Jua kwamba CCM kwa upande wa Zanzibar ni Afro-Shiraz party. Ni chama halali cha Zanzibar. CCM kwa Zanzibar sio chama cha Tanganyika. TANU haina ngome visiwani.
Mara nyingi watu walikuwa wanasema CUF ni offshoot ya waZanzibari waliokuwa wafuasi wa Sultani aliepinduliwa mwaka 1964. Mimi nilikuwa nawapuuzia lakini sasa ninaanza kupata wasiwasi. Kama uchaguzi siku zote utakuwa batili mpaka Maalim (CUF) ashinde, basi itakuwa shida sana.
Haya madai ya kuwa tokea 1995 Maalim alikuwa anashinda chaguzi bali CCM walikuwa wanapora sasa yanaanza kuchosha akili yangu.
Kwa nini tusirudie uchaguzi, na safari hii usimamiwe na an independent party kama Umoja wa Mataifa, halafu tuone matokeo. Hapa utata uko wapi?
Awali ya vyote mkuu kuwa na courage ya kukemea uovu na kuukataa kwa akili yako bila unafiki, mapinduzi ya Zanzibar yamebaki historia kama mapinduzi mengine katika nchi nyingi, kumbuka hii imetumika sana na wahafadhina ndani ya CCM hususan Zanzibar kujimilikisha haki ya kutawala milele.
Fikiria nje ya box, serikali inayochaguliwa kwa kura Leo hii bado inaitwa serikali ya mapinduzi,inaleta maana kwako? Yule mama mjumbe kutoka Zanzibar kwenye bunge maalum la kutunga katiba kutoka Zanzibar alisema na hakuna kiongozi yeyote kutoka CCM na Zanzibar aliyemkanusha kuwa hatutoi serikali kwa vikaratasi.
Askari wa jeshi la wananchi waliovamia tume ya uchaguzi Zanzibar waliamrishwa na nani? Mamlaka hii iko kwa dk Shein?kama Haiko Zanzibar wana Uhuru gani? Achana na hizo dhana za patrionism zinazokupofua macho hata huwezi kuona vitu kwa uhalisia.
Mwisho kuna msemo , kwenye ukandamizaji wowote kama Hau
ko upande wa wanaokandamizwa basi upo upande wa wakandamizaji, na hili Uko wazi kama nyeti za nyani, utawakosoa ukawa mfano kisha la kumuingiza Lowassa lakini utakaa kimya kwa sababu za uozo wa haya vyote, come out waambie CCM wenzako watoe Uhuru wa zanzibar
It is stupid kwenda white house,and it is very clever for CCM to do what they have done in Zanzibar. Kweli wabongo hazimo ila nyinyi ambao zimo mnakubaliana na mchezo mchafu wa ccm
Awali ya vyote mkuu kuwa na courage ya kukemea uovu na kuukataa kwa akili yako bila unafiki, mapinduzi ya Zanzibar yamebaki historia kama mapinduzi mengine katika nchi nyingi, kumbuka hii imetumika sana na wahafadhina ndani ya CCM hususan Zanzibar kujimilikisha haki ya kutawala milele.
Fikiria nje ya box, serikali inayochaguliwa kwa kura Leo hii bado inaitwa serikali ya mapinduzi,inaleta maana kwako? Yule mama mjumbe kutoka Zanzibar kwenye bunge maalum la kutunga katiba kutoka Zanzibar alisema na hakuna kiongozi yeyote kutoka CCM na Zanzibar aliyemkanusha kuwa hatutoi serikali kwa vikaratasi.
Askari wa jeshi la wananchi waliovamia tume ya uchaguzi Zanzibar waliamrishwa na nani? Mamlaka hii iko kwa dk Shein?kama Haiko Zanzibar wana Uhuru gani? Achana na hizo dhana za patrionism zinazokupofua macho hata huwezi kuona vitu kwa uhalisia.
Mwisho kuna msemo , kwenye ukandamizaji wowote kama Hau
ko upande wa wanaokandamizwa basi upo upande wa wakandamizaji, na hili Uko wazi kama nyeti za nyani, utawakosoa ukawa mfano kisha la kumuingiza Lowassa lakini utakaa kimya kwa sababu za uozo wa haya vyote, come out waambie CCM wenzako watoe Uhuru wa zanzibar
Uchaguzi ulifanywa tare he 25 Nov na matokeo yalianza kutangazwa hadi tare he 28 wakati mwelekeo wa kushindwa kwa CCM kulipokuwa dhahiri, askari wa JWTZ wakavamia ZEC na wakaondoka na makamu mwenyekiti aliyekuwa anaendelea na kazi ya kuhakiki na kutangaza matokeo.
Ni uchaguzi mmoja uliomchagua rais wa jamhuri, wabunge, madiwani ,wawakilishi, na rais wa Zanzibar, kwa akili za kushikiwa unazotaka kutuingizia kuwa wapiga kura wale wale katika uchaguzi ule ule, uliosimamiwa na taasisi ile ile ZEC , ukatoa akina mbili za matikeo, kura halali za Magufuli na kura haramu za Maalim Saif, you have to be nuts to believe it. Angeshinda She in ungefutwa?
Tume Si mwenyekii peke yake, Bali na makamu mwenyekiti na makamishna ambao kwa nyakati tofauti wamekataa kushirikishwa, kwa huyo CCM kwa kumtumia jecha wamekiuka taratibu.
Pili Tume haina mamlaka ya kufuta uchaguzi baada ya kupigwa ,na kwa swali lako la utata uchaguzi huko huko haukutoa utata kwa magufuli Bali kwa Serif? Hebu tafuta wajinga wa kuwadanganya,waambie Lumumba kwamba hatuelewi tutaandamana Marekani, Uingereza, Oman, hadi kieleweke. Mark my words CCM mmechanganyikiwa Serif kawashika pabaya
Hakuna Kitu Kibaya kama unafiki, Leo unasema kuna tetesi, hizo tetesi ni baada ya kuna Shein kagaragazwaKwanza ni muhimu utenganishe hizi chaguzi. Kulikuwa na uchaguzi uliosimamiwa na NEC na ule uliosimamiwa na ZEC. Chaguzi za wabunge na rais wa JMT zilikuwa chini ya NEC na hizo nyingine 3 zenye mizengwe zilikuwa chini ya ZEC.
NEC ilijiridhisha kuwa hata kama waZanzibari wote wangemchagua Lowassa bado Magufuli alikuwa anaongoza. Kuhusu wabunge, NEC ilijua kama kuna malalamiko yoyote basi walioshindwa watafungua kesi.
Sijui ni kwa nini JWTZ waliitwa kuingilia kati. Itoshe tu kusema kulikuwa na tetesi (unknown source) kuwa kuna uwezekano wa machafuko mara baada ya Maalim kujitangaza kuwa mshindi. Sijui kama hii ni kweli au la. Lakini kama ni kweli basi navipongeza vyombo vya usalama kuwepo na lulinda amani.
KUNA MASWALI YANANIKERA:
- Hivi ni kwa nini CUF wanaogopa kuurudia huu uchaguzi, hasa kama utasimamiwa na tume huru kutoka nje, kama vile UN?
- Ni kweli kuwa kuna kajimchezo walikokafanya kwenye uchaguzi huu uliopita ambacho wanaogopa hawataweza kukarudia tena?
Hakuna Kitu Kibaya kama unafiki, Leo unasema kuna tetesi, hizo tetesi ni baada ya kuna Shein kagaragazwa
Zanzibar? Pointless unazungumza kilumumba Lumumba tu ,narudia waambie CCM wenzako wawape Uhuru wazanzibari maana kuthibitisha unafiki wako unasema hata huji sababu za kwa nini JWTZ walipelekwa kule, nonsense huji walipelekwa kuhitimisha uchakachuaji
Weka, hapa hakuna siri ndio maana tunathubutu ya kuongea bila kigugumizi,usipowekeutakuwa ni umbeya.ungaliwaambia hao watoto wa viongozi wa CCM kwani ndio wa kwanza kupelekwa ulaya , Marekani na Canada eti wanakimbia dhuluma za CCM wao ni CUF au tukuwekee hapa majina yao ???
Hizi kejeli na utusi nimeuzoea kutoka kwa wenye upeo finyu. Badala ya kutoa hoja wewe unakuja na kejeli tu. Mimi nina ngozi nene sana. Kejeli hizo haziniumizi aslani.
Nimekwambia kuwa CCM kwa visiwani ni Afro-Shirazi Party (ASP). Hawa ndio waliofanya mapinduzi ya kumuondoa Sultani na kuleta uhuru wa kweli Zanzibar mwaka 1964. Enzi hizo CCM haikuwepo. Unaponituma nikawaambie CCM wenzangu wawape Uhuru waZanzibari, kimantiki, unanituma niwaambie ASP wawape Uhuru waZanzibari. Hivi unajijua unachosema?
Kwa maana hii ya huu usemi wako ni kuwa wewe unapinga yale mapinduzi ya 1964. Hebu nijibu, usemi wangu huu ni kweli au la?
Nyuma ya pazia TANU inawasaidia ASP silaha za kivita na majeshi ili tu kuendelea kuitawala zanzibar,ila kumbukune vifaru vyenu na jeshi lenu havitasaidia kuzuia maamuzi ya wazanzibar,kama mliwapindua wazanzibar kwa silaha 1964 basi mkubali tu kuwa ukoloni wenu umepinduliwa na wazanzibar tarehe 25 -10-2015. Mapinduzi daima.
Aiwaaa! Sasa nimekuelewa vizuri sana.
Hapa sio kuwa tunazungumzia machungu yatokanayo na michuano ya kisiasa kati ya:
- CUF (ya wazalendo wa visiwani) na
- CCM au ASP (pia ya wazalendo wa visiwani).
Haya ni machungu yatokanayo na hisia za koo za Sultani aliepinduliwa na waZanzibari mwaka 1964. WaZanzibari hawa hawa waliokuwa watumwa, watwana, wakwezi, vijakazi, nokora, n.k., ambao walipatiwa uhuru baada ya ASP kumpindua Sultani.
Sasa Sheikh wangu si ungefunguka hivi tokea awali kuliko kujizunguusha zunguusha na laghai ya lugha kama "demokrasia", "CCM wamekwiba kura tangu 1995", "CCM ni wakoloni weusi toka bara", n.k.
Sasa ndio ninaelewa vizuri mnapowaita CCM kuwa ni wakoloni weusi. Kumbe siku zote hizi mlimaanisha mnataka ule utawala wa Waarabu (weupe) urudi visiwani? - Over my dead body.
Ukoloni hauna rangi kama ukoloni mweupe uliondoka zanzibar basi fahamu fika ukoloni mweusi nao pia utaondoka zanzibar,OVER MY DEAD BODY.
Huwezi tumia mapinduzi ya 1964 kuendeleza sasa za chuki, umeonyesha dhahiri kutetea ukiukwaji wa haki za wazanzibari na kama unawadharau baadhi ya RAIA ambao Si ASP NA TANU ambao Si wahusika wa mapinduzi Wewe ni mhafidhina usiyefaa kuwepo katika zama hizi, kama huyo mapinduzi yanadumu daima ya nini kufanya uchaguzi? Your reasoning is too shallow, narudia waambie CCM wenzako wawape Uhuru wazanzibari. Kama wazanzibari ni ASP TU MBONA KILA UCHAGUZI TOKA WA 1963 HAWAPATI KITU? Tafuta wenzako wa Lumumba uwadanganye,na hii ndiyo lugha pekee mnayiielewa magambaHizi kejeli na utusi nimeuzoea kutoka kwa wenye upeo finyu. Badala ya kutoa hoja wewe unakuja na kejeli tu. Mimi nina ngozi nene sana. Kejeli hizo haziniumizi aslani.
Nimekwambia kuwa CCM kwa visiwani ni Afro-Shirazi Party (ASP). Hawa ndio waliofanya mapinduzi ya kumuondoa Sultani na kuleta uhuru wa kweli Zanzibar mwaka 1964. Enzi hizo CCM haikuwepo. Unaponituma nikawaambie CCM wenzangu wawape Uhuru waZanzibari, kimantiki, unanituma niwaambie ASP wawape Uhuru waZanzibari. Hivi unajijua unachosema?
Kwa maana hii ya huu usemi wako ni kuwa wewe unapinga yale mapinduzi ya 1964. Hebu nijibu, usemi wangu huu ni kweli au la?
Huwezi tumia mapinduzi ya 1964 kuendeleza sasa za chuki, umeonyesha dhahiri kutetea ukiukwaji wa haki za wazanzibari na kama unawadharau baadhi ya RAIA ambao Si ASP NA TANU ambao Si wahusika wa mapinduzi Wewe ni mhafidhina usiyefaa kuwepo katika zama hizi, kama huyo mapinduzi yanadumu daima ya nini kufanya uchaguzi? Your reasoning is too shallow, narudia waambie CCM wenzako wawape Uhuru wazanzibari. Kama wazanzibari ni ASP TU MBONA KILA UCHAGUZI TOKA WA 1963 HAWAPATI KITU? Tafuta wenzako wa Lumumba uwadanganye,na hii ndiyo lugha pekee mnayiielewa magamba