Mgogoro wa Zanzibar watinga Ikulu ya Marekani

Mgogoro wa Zanzibar watinga Ikulu ya Marekani

Kwani wamarekani ni nani katika mgogoro wa kisiasa ZNZ?? Hivi waZNZ na wa TZ kwa ujumla hatuwezi kutatua tatizo la ZNZ hadi wamarekani na wengine waingilie kati???
 
Kwani wamarekani ni nani katika mgogoro wa kisiasa ZNZ?? Hivi waZNZ na wa TZ kwa ujumla hatuwezi kutatua tatizo la ZNZ hadi wamarekani na wengine waingilie kati???

Nashangaa mkuu.
 
"Truth conquers everything" ndivyo unavyosema. Ukweli ni upi sasa, mi naona utata mtupu. Tusubiri suluhisho JD. Acha sarakasi hizo hazitatufikisha popote.

"Alere flammam veritatis"...(Encouraging the Flame of Truth)........

"Fiat justitia ruat caelum"...(Let justice be done, though the heavens may fall)......
 
Nashangaa mkuu.

Unashangaa? wakati huohuo unamsubiri yeye (yumo ndani ya UN kama P5) na rafiki zake (EU) wakutegulie bomu ulilotega mwenyewe kwa mikono yako!!

Wakati huohuo ametishia kukunyima misaada usipotenda haki kwa wazanzibari!!

Ukishamaliza kushangaa utagundua nani ana ushawishi mkubwa duniani
 
Kwani wamarekani ni nani katika mgogoro wa kisiasa ZNZ?? Hivi waZNZ na wa TZ kwa ujumla hatuwezi kutatua tatizo la ZNZ hadi wamarekani na wengine waingilie kati???

Kwani nini chanzo cha mgogoro kama siyo upuuzi wetu wam kung'ania madaraka? Halafu unategemea tuweze kutatua wenyewe huo mgogoro wakati sisi wenyewe ni mgogoro. Mgogoro hautatuliwi na wenye mgogoro.
 
tumevamiwa na kanisa katoliki hivi ni vita vya kidini , si ulimsikia Lukuvi kule kanisani aliongea kitu gani ??
so you don't have any plan b??do something to rescue the situation please,but i think we have a catholic presdzaa-hopeful this will makematters more complicated.ANYWAY do you have any idea on who is organizing those "matching of the few zanzibaris" abroad?
 
Hivi hujamsikia Lukuvi alichoongea??
 
Umeona lakini nilivyoshauri kitu kinachotokea sasa? Complete vindication. Muafaka uliofikiwa visiwani ni kuwa UCHAGUZI UNARUDIWA.

Wewe yero pamoja na Jack Daniel's huwa mna vichwa vigumu sana lakini kama mngekuwa mnasikiliza nasaha zangu mngeona kuwa siku zote niko sahihi. Mnakumbuka sakata letu la uchaguzi wa bara aliloanzisha JD - to his credit?

Muwe mnawasikiliza wazee wenu. Saa nyingine hawa wazee wanajua mengi kwa ajili ya kuona mengi.

Cheers.

Bibie kui

Tafadhali njoo huku. Ndugu zako Jack Daniel's na yero wananitia kabali.

Mkuu Kifyatu I had to take a vacay after uchaguzi...LOL!

Kumbe kuna sakata lingine limeanza?!, ngoja nkalivalie bukta...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kifyatu I had to take a vacay after uchaguzi...LOL!

Kumbe kuna sakata lingine limeanza?!, ngoja nkalivalie bukta...

Asante mkuu kunijibu. Niliogopa nikidhani nimekuudhi baada ya kutokukusikia kwa muda mrefu.

Lile sakata lilikwisha. Tunasubiri tu maamuzi ya waZanzibari sasa.

Cheers.
 
Kwani kuna hofu gani kumuachia nchi Maalim Seif kama lengo ni kuleta maendeleo?
 
Back
Top Bottom