Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,084
- 6,245
Mnawezaje kuvumilia watu wapuuzi kias hiko tena yupo ndani kwako...? Mimi binafsi ningekua nimemfukuza tena bila nauli. Akienda kunisema vibaya kwao wala sijali. Tunakufa masikini kuendekeza kusaidia watu wasio faida ktk maisha yetu ya baadae. Msaidie mama na baba yako, msaidie kaka na dada yako, wasaidie wanao hata wasipo kusaidia ila umeokoa familia yako binafs..