Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Njia ya haramu ni kuua tu boss!
Zingine zote ni legal way.

Asingepeleka huo unga si angefanya umalaya, umalaya si ungemzalia HIV?
Yani hilo dili lake lingetiki haki angekuwa mawinguni.

Alafu kabla mtu hajasafirisha madawa kwenda kokote huwa wanaangalia je nikikamatwa hiyo nchi ina penalty ya namna gani?
Mathalani Spain na France vifungo vyao romantic sana ila kukamatwa ni 95% out 100%.
Thailand, Taiwan ambako hela iko mingi wakikushika my friend umeisha na wakikufunga ni miaka 10 kwa grams na miaka hadi 99 kwa kilo.
Kwani wakipeleka trip moja wanapewa bei gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajayajua Magereza ya Tanzania narudia hajayajua!
Ni jehanam iliyoko duniani, kule si analala kwenye vitanda, vyumba vina AC ana mashuka, vyumba vina rangi tena unaweza kukuta ana roommate mmoja tu, akiamka asubuhi anakula vinono, anafanya kazi kama mazingira mazuri kama vile watu wa Benjamin Mkapa External!
.
Mwambieni, jela za Tanzania hakuna hata moja yenye AC, yenye vyumba, yenye rangi kwenye cello zake, yenye kazi rahisi, yenye vitanda kama hajawahi kuiona Jehanam na aombe sana serikali imlete hatoamini macho yake
Hajuwi kama Magereza ya bongo nusu ya jahanam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa msiwalaumu watu kwa tamaa za watoto wenu...hivi Leo binti ahangaike na wanaume apate maradhi au mimba muanze kuwalaumu wenye MAGUEST HOUSE?dawa ni KUMPA elimu ya maisha mtoto wako,,,kujihadhari na kutumia MADAWA,, huyo muuzaji atamuuzia nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beba unga ule dona. Usibebe 'unga' ule dollari.

Get Rich or Die Tryin...

What's Up Lily.

-Kaveli-
 
Anajua alichokifanya hiyo ni defensive mechanism!

Kuuza unga kuna raha yake bwana asikwambie mtu na kukamatwa huwa kunatokea.
Ukitia akilini hilo you'll be nervous jiulize kapitaje JNIA

Yani pale unaweza kupita hata na KG 10 scanner yao isione, Askari wasikuhisi wala mbwa.

Alafu acha roho mbaya ombea apunguziwe kifungo
Wewe ushapitisha ngapi mkuu?
Tuonane PM please tujadiliane mawili matatu mrembo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mganga kasema hivyo

Heading yangu ilikua ni “ Mfungwa lilian “ naona ma mods wame edit na kuongeza wa Hong Kong ila alikamatwa indonesia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah nimesikiliza mkasa wa huyu binti mdogo aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini Indonesia Mwaka 2017 na kuhukumiwa miaka 18 jela, story yake inasikitisha sana na kuhuzunisha

Kitu ambacho anakijutia zaidi ni kukamatwa wakati akiwa bado hajatimiza ndoto yake ya kumjengea nyumba Mama yake , anadai kama angetimiza ndoto yake hiyo , hiko kifungo kisingemuuma sana Kwani angejua Mama yake yupo sehemu salama ila sio sasa hivi ambapo hajui hata anakula nini na anaishi vipi na hajui kama akitoka atamkuta mama yake yupo hai au yeye mwenyewe kufia jela.

Kilichonivutia zaidi ni ujasiri aliokuwa nao wa kusimulia mkasa huo wa kuogopesha na kutisha bila kuwa na uoga wowote au huzuni.

Mungu amsaidie aweze kutumikia kifungo chake salama na kurudi uraiani

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wamuachie akajengee nyumba mamake aiseeh

Luckman1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom