Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Inategemea na retailer.

Mfano ukipeleka mzigo Oman labda 1kg ambazo kule atagawanya into 3-4 kilo's basi utakula hadi million 25 kwa one trip.
Yeye atauza kwa mkato wa kadi ya bank dollar 10 just imagine


“There’s only one way to be safe in this business, to become powerful enough that no one can touch you.”

IMG_3272.JPG




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
“There’s only one way to be safe in this business, to become powerful enough that no one can touch you.”

View attachment 1459708



Sent from my iPhone using JamiiForums
True, but they ain't gonna allow you to sell Heroin and Cocaine. They'll only allow you to sell crack cocaine and cannabis.
 
Ingieni Millard ayo mtaikuta iyo issue ya madawa kulevya ya uyo dada ..
 
True, but they ain't gonna allow you to sell Heroin and Cocaine. They'll only allow you to sell crack cocaine and cannabis.

“I said welcome to America, I never said it was going to be easy.”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[/QUOTE]
Just imagine Wali chakula cha taifa! Bongo wali ni mpaka sikukuu au itokee bahati mbaya shirika au kiongozi atoe mchele.

Muombeni serikali imlete anahamu ya kulala chini kwenye hall kama godown la mapopo
Mkuu nenda Millard ayo ukasikilize story nzima utajua..wanakula nn ,usidakie tu.uyo dada anasema wanakula wali Na mchuzi wa mafenesi...
 

Mkuu nenda Millard ayo ukasikilize story nzima utajua..wanakula nn ,usidakie tu.uyo dada anasema wanakula wali Na mchuzi wa mafenesi...[/QUOTE]

Still alisema wanapolala ni pazur , na chumba chake wako watatu... magereza ya huko ni much better bwana kuliko ya huku , we humuon binti kiziwi alivyorud shavu dodo

Huyo binti ni uoga tu na kama alivyosema ana hamu ya kuwa karibu na familia yake that’s y anataman ahamishiwe bongo

All in all , nyumbani ni nyumban , magereza yetu kidogo unaweza kupiga umbea na wenzio mkafarijiana , it feels good kuliko kuwa huko , naona bidada lugha haipandi huko anapata shida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe unayekula RUSHWA ,,,na WEWE UNAYEKULA MALI YA UMMA JE ?ndy unafanya vizuri?Africa watu wa ajabu sn,,wakati wazungu wakiwapuuza wauza madawa ,,wao Africa ndy wanaona kipaumbele kuwafunga wauza madawa miaka mingi gerezani..ajabu saana,,
Nyinyi wabeba madawa ndio mna roho nzuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na retailer.

Mfano ukipeleka mzigo Oman labda 1kg ambazo kule atagawanya into 3-4 kilo's basi utakula hadi million 25 kwa one trip.
Yeye atauza kwa mkato wa kadi ya bank dollar 10 just imagine
So this business is tempting....
 
Haya maneno umeandika hapa mkuu, asante sana
ninachosikitikia alikuwa bado hajakomaa sawa sawa kiakili,kwa shida zake ilikuwa ni rahisi kuhadaika.

fikiria uko ktk familia ambayo haina uhakika na jioni ya kesho,halafu unawekewa mezani deal la 10ml, ukiwa early 20s lazima uchachawe.hata akipatikana mshauri wa kukueleza madhara yake.

kuna mambo anayataja tokea mkasa umemfika unagundua kumbe bado kuna binaadam duniani,haijalishi ana rangi gani.mfano afisa aliyewasihi wenzie wasimpige risasi binti.

nayaona majuto ya binti kutoka moyoni,hasa anaposema anatamani amuone mama yake amuombe msamaha,anatamani awe anatembelewa na ndugu zake.naamini hata baada ya miaka 18 kwisha,atamkuta mama yake amuombe msamaha sababu ya nadhiri aliuojiwekea,Mungu amsaidie.

sema namshauri millard angefanya juhudi ya kumpata mama wa binti,amuunganishe naye ili binti apate amani kidogo maana inatesa sana kwakweli,Umasikini ni ugonjwa mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom