Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Dah nimesikiliza mkasa wa huyu binti mdogo aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini Indonesia Mwaka 2017 na kuhukumiwa miaka 18 jela, story yake inasikitisha sana na kuhuzunisha

kitu ambacho anakijutia zaidi ni kukamatwa wakati akiwa bado hajatimiza ndoto yake ya kumjengea nyumba Mama yake , anadai kama angetimiza ndoto yake hiyo , hiko kifungo kisingemuuma sana Kwani angejua Mama yake yupo sehem salama ila sio sasa hivi ambapo hajui hata anakula nini na anaishi vipi na hajui kama akitoka atamkuta mama yake yupo hai au yeye mwenyewe kufia jela.

Kilichonivutia zaidi ni ujasiri aliokua nao wa kusimulia mkasa huo wa kuogopesha na kutisha bila kuwa na uoga wowote au huzuni.

Mungu amsaidie aweze kutumikia kifungo chake salama na kurudi uraiani

Sent from my iPhone using JamiiForums
Umesoma wapi huo mkasa, naomba link

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafanikio siku zote hayana shortcut na kama ipo huwa ni risky shortcut ambayo mara zote inaweza hata kugharimu uhai wako,ila hata hivyo wapo wachache waliofanikiwa kupitia hiyo njia wameweza kufanikiwa kubaki salama...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nnachojuliza hyo jela wanaruhusu simu? Na je ikijulikana aliongea na simu(probably ubalozi wa Indonesia ukifuatilia) si anaweza kuozea jela? Mwana kulifind mwana kuliget, ashayatindinganya atulie amalize kifungo chake ,hapa duniani hamna shortcut hata iweje maisha yawe magumu kiasi gani usijaribu kufanya uhalifu kwa kisingizio cha maisha magumu ili system ikuonee huruma.
Kwa wnaotaka kujua zaidi jinsi ya watu wanvyonaswa angalieni National Geographic kipindi kinaitwa Airport Investigation uone mataifa yaliondelea wanavyodaka watu. So don't try hata kufikiria kubeba ngada utakamatwa tu.
 
Yeye mwenyewe alipaswa ayajue haya sio sisi, nina uhakika wewe huwezi kukubali kuwa punda
sina uhakika mkuu,shida hazibishi hodi.

yupo jamaa yangu mama yeke mzazi aliugua uvimbe akawa kapewa tarehe ya upasuaji,gharama ilikuwa hela imechangamka kidogo+ madawa nk.

akajikaza kiume akawa kapata kama 2.5ml,wakati ilikuwa inahitajika 4.5.akapata deal la meno ya tembo,mpango ukasukwa,siku anapeleka kwa mteja akashikwa,segerea miaka 6 uhujumu bila kesi.

shida ni kama mwana wa adam
 
Nnachojuliza hyo jela wanaruhusu simu? Na je ikijulikana aliongea na simu(probably ubalozi wa Indonesia ukifuatilia) si anaweza kuozea jela? Mwana kulifind mwana kuliget, ashayatindinganya atulie amalize kifungo chake ,hapa duniani hamna shortcut hata iweje maisha yawe magumu kiasi gani usijaribu kufanya uhalifu kwa kisingizio cha maisha magumu ili system ikuonee huruma.
Kwa wnaotaka kujua zaidi jinsi ya watu wanvyonaswa angalieni National Geographic kipindi kinaitwa Airport Investigation uone mataifa yaliondelea wanavyodaka watu. So don't try hata kufikiria kubeba ngada utakamatwa tu.
kwa maelezo yake ni kwamba ni muendelezo wa ubinaadam wa maafisa magereza.wanajua na wao ndio wanakwenda kukununulia kwa malipo flani,ila endapo itashikwa kesi ni kwa askari wa zamu,wewe utajitetea uliachiwa na aliyemaliza kifungo tayari.
 
Na kwa mujibu wake ndo ilikua mara yake ya kwanza kubeba mzigo , nasikia girlfriend wa jamaa waliyekua wanahusika na mzigo ndo aliyemchomesha huyo binti baada ya kugombana na boyfriend wake

Sent from my iPhone using JamiiForums
ona sasa,hapo jamaa alikua anatafuna kotekote shot kulia,huyo binti muache kkwanza tupambane na corovna hii hivyo visa kataka mwenyewe
 
Mungu amsaidie aweze kutumikia kifungo chake salama na kurudi uraiani

kashindwa kumsaidia kutimiza ndoto yake amsaidie kumaliza kifungo wacha mda useme wenyewe
 
Waliosema tamaa mbele mauti nyuma au Majuto ni mjukuu waliona mbali. Pole sana kwake.
 
Dah nimesikiliza mkasa wa huyu binti mdogo aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini Indonesia Mwaka 2017 na kuhukumiwa miaka 18 jela, story yake inasikitisha sana na kuhuzunisha

kitu ambacho anakijutia zaidi ni kukamatwa wakati akiwa bado hajatimiza ndoto yake ya kumjengea nyumba Mama yake , anadai kama angetimiza ndoto yake hiyo , hiko kifungo kisingemuuma sana Kwani angejua Mama yake yupo sehem salama ila sio sasa hivi ambapo hajui hata anakula nini na anaishi vipi na hajui kama akitoka atamkuta mama yake yupo hai au yeye mwenyewe kufia jela.

Kilichonivutia zaidi ni ujasiri aliokua nao wa kusimulia mkasa huo wa kuogopesha na kutisha bila kuwa na uoga wowote au huzuni.

Mungu amsaidie aweze kutumikia kifungo chake salama na kurudi uraiani

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mimi najiuliza ni kwanini hawawataji waliowabebesha!!...maana mtu kashafungwa sijui kwanini anamuonea aibu aliyembebesha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nnachojuliza hyo jela wanaruhusu simu? Na je ikijulikana aliongea na simu(probably ubalozi wa Indonesia ukifuatilia) si anaweza kuozea jela? Mwana kulifind mwana kuliget, ashayatindinganya atulie amalize kifungo chake ,hapa duniani hamna shortcut hata iweje maisha yawe magumu kiasi gani usijaribu kufanya uhalifu kwa kisingizio cha maisha magumu ili system ikuonee huruma.
Kwa wnaotaka kujua zaidi jinsi ya watu wanvyonaswa angalieni National Geographic kipindi kinaitwa Airport Investigation uone mataifa yaliondelea wanavyodaka watu. So don't try hata kufikiria kubeba ngada utakamatwa tu.
Tupo pamoja mkuu Border Security pia ...huwa napenda kutizama Brazil na nchi gani sijui ase wako makini Sana wale jamaa...pia pamoja na umakini wao loopholes zipo 😂😂😂😂
 
Endelea nayo
Sio kuiga, drugs ni MKOMBOZI na kuna njia ambazo naweza kukushawishi wewe uingie kwenye huo mchezo na huwezi kukataa maana utakuwa na uhakika sniffing dog hawezi ku-suspect chochote, Askari wenye uzoefu hawatakusanukia, wala scanner haitajua chochote.

Hizi common ways za ku-inject drugs kwa condom, kufunga tumboni, kuzivalia kwenye kiatu kuchana begi na kuzishonea ndani zikiwa kwenye mabahasha yaliyozungushiwa plastic, kuziweka kwenye vichupa au vikopo n.k zinaogopesha.
.
Sasa hivi kuna njia taaamu na Airport pekee inayoweza kusanukia hilo tena kwa nadra sana Africa ni OR Thambo, Cairo na King Mohammed V. Kwingineko watu wanakuja wanachukua mizigo wanasepa kilaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nimesikiliza mkasa wa huyu binti mdogo aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini Indonesia Mwaka 2017 na kuhukumiwa miaka 18 jela, story yake inasikitisha sana na kuhuzunisha

kitu ambacho anakijutia zaidi ni kukamatwa wakati akiwa bado hajatimiza ndoto yake ya kumjengea nyumba Mama yake , anadai kama angetimiza ndoto yake hiyo , hiko kifungo kisingemuuma sana Kwani angejua Mama yake yupo sehem salama ila sio sasa hivi ambapo hajui hata anakula nini na anaishi vipi na hajui kama akitoka atamkuta mama yake yupo hai au yeye mwenyewe kufia jela.

Kilichonivutia zaidi ni ujasiri aliokua nao wa kusimulia mkasa huo wa kuogopesha na kutisha bila kuwa na uoga wowote au huzuni.

Mungu amsaidie aweze kutumikia kifungo chake salama na kurudi uraiani

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongkong siyo Indonesia. Hongkong ni koloni la zamani la Uingereza linalotawaliwa China kwa sasa kwa kigezo cha one country two systems.
Lakini kama amekamatwa nchini Indonesia ni kitanzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom