Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
2,487
2,000
Hajayajua Magereza ya Tanzania narudia hajayajua!
Ni jehanam iliyoko duniani, kule si analala kwenye vitanda, vyumba vina AC ana mashuka, vyumba vina rangi tena unaweza kukuta ana roommate mmoja tu, akiamka asubuhi anakula vinono, anafanya kazi kama mazingira mazuri kama vile watu wa Benjamin Mkapa External!
.
Mwambieni, jela za Tanzania hakuna hata moja yenye AC, yenye vyumba, yenye rangi kwenye cello zake, yenye kazi rahisi, yenye vitanda kama hajawahi kuiona Jehanam na aombe sana serikali imlete hatoamini macho yake
Naunga mkono hoja!
 
komanyahenry

JF-Expert Member
Sep 15, 2017
826
1,000
Nasikia waliachiwa wafungwa elfu 50 huko indonesia kwa ajili ya corona Ila Bahati mbaya haikua kwa foreigners

Huyo binti alikua anaomba sana serikali ya magufuli iwasaidie waamishiwe Magereza ya Tanzania kwan huko wanateseka sana na kubaguliwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha tuu, tuone maisha ya wafungwa wa keko, segerea na ukongo, kuna magereza mfungwa anapata tabu unahisi kama upo jehanamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
2,191
45
Na kwa mujibu wake ndo ilikua mara yake ya kwanza kubeba mzigo , nasikia girlfriend wa jamaa waliyekua wanahusika na mzigo ndo aliyemchomesha huyo binti baada ya kugombana na boyfriend wake

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna kesi kama hii ilitokea huko Indonesia binti wa ufilipino aliwekewa madawa ya kulevya na dada mmoja kisa alimtafutia kazi za ndani Indonesia alivyokamatwa akahukumiwa kunyongwa.Bahati yake siku ya kunyongwa masaa 24 kabla aliyemuwekea madawa hayo akajitokeza kwao Ufilipino akasema ni yeye kamuwekea raisi wa ufilipino akapiga simu kwa raisi wa Indonesia Joko Widodo hukumu ikasimamishwa kwa muda uchunguzi uendelee.Wale wenzake waliuwawa kwa firing squad usiku huo kina Myran na wengine.
Huyu dada yuko hadi leo hai fungueni google Mary Janet Veloso someni kisa hicho.
Msimhukumu huyu mdada huwezi jua naye kafanyiwa hivyo kwanza nashangaa kufungwa miaka 18 Indonesia adhabu yao ni kifo kwa kupigwa risasi watu nane na bunduki wanakulenga kwenye moyo.
Nahisi kuna kitu serikali ya huko wamegundua hakiko sawa ndio maana hawajamhukumu kifo
 
Attachments

  • mary janet veloso.PNG
    File size
    301.5 KB
    Views
    0

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,529
2,000
Kuna kesi kama hii ilitokea huko Indonesia binti wa ufilipino aliwekewa madawa ya kulevya na dada mmoja kisa alimtafutia kazi za ndani Indonesia alivyokamatwa akahukumiwa kunyongwa.Bahati yake siku ya kunyongwa masaa 24 kabla aliyemuwekea madawa hayo akajitokeza kwao Ufilipino akasema ni yeye kamuwekea raisi wa ufilipino akapiga simu kwa raisi wa Indonesia Joko Widodo hukumu ikasimamishwa kwa muda uchunguzi uendelee.Wale wenzake waliuwawa kwa firing squad usiku huo kina Myran na wengine.
Huyu dada yuko hadi leo hai fungueni google Mary Janet Veloso someni kisa hicho.
Msimhukumu huyu mdada huwezi jua naye kafanyiwa hivyo kwanza nashangaa kufungwa miaka 18 Indonesia adhabu yao ni kifo kwa kupigwa risasi watu nane na bunduki wanakulenga kwenye moyo.
Nahisi kuna kitu serikali ya huko wamegundua hakiko sawa ndio maana hawajamhukumu kifo

kati ya kazi ngumu na ya kubeba machozi ya watu wengi ni kazi y upelelezi.ukizembea tu urahisishe kazi unagharimu maisha ya mtu jumla.

ni jana tu nimetoka kusoma habari hapo kenya,kuna vijana wa shule form two 2006 binti na mvulana waliokuwa wapenzi mwaka huo,walihukumiwa kwa kesi ya wizi wa kutumia nguvu.kwamba walimkaba dereva wa gari aliyekuwa na mwezake mwanaume pia,mbele kwenye seat kisha wakafanikiwa kuwatoa kwenye gari na kuondoka na gari.

scenario iliyopo ni kwamba dogo wakiwa na mwenzie waliomba rift wakaenda kushuka karibu na mazingira gari hiyo ilipokutwa na polisi,ikaonekana wao ndio wahusika wakashikwa.

binti alikata rufaa akaachiwa ila mwanaume bado mpaka leo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom