Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Why won't they allow you to sell the top two?
Heroin and cocaine overdose can kill, also you may be broke in a short time.

Heroin is a depressant if you smoke it you must get stimulant just imagine you buya heroin or cocaine for $5 to 10$ and to avoid get sick you must be a cigarette or meth!

But if you smoke Cannabis and crack it's cheaper and you won't be zombie
 
Mkuu nenda Millard ayo ukasikilize story nzima utajua..wanakula nn ,usidakie tu.uyo dada anasema wanakula wali Na mchuzi wa mafenesi...
[/QUOTE]
We fenesi unalijua radha yake?
Watu tumeishi miaka mitatu tukila tu matikiti na matogo!

Huyo anatafuta tu huruma ya gavoo aje awe anaonwa na ndugu zake, wacha awe deported si haijui jehanam wachana na jela za Bongo zisikie tu
 
You can not dealing with drugs without being involved in power of Darkness .. otherwise you are doomed. You have to be smart , you have to know the rules of the game

Sent from my iPhone using JamiiForums
I don't real believe in that, what i believe is be smart and don't sell drug to people you don't know!

Other thing is get a good job this will avoid people to suspect you.
 
Ngoja nikwambie kitu....nowdays hawaangaiki tena na mavifungo hayo maana wameona vijana wa kibongo ni sikio la kufa,nowdays wanawachoma sindano za sumu unakuja kufa huku kama mzoga,nimemzika mwanangu juzi kati mwananyamala it pains a lot.

binti achana na hizo mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pesa za madawa nzuri , ila ukishangia tu ni kama umeuza nafsi yako kwa shetani, you are being monitored n controlled everywhere ...

The only safe way ni kumshika sana shetani kwa nguvu zako zote

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ngoja nikwambie kitu....nowdays hawaangaiki tena na mavifungo hayo maana wameona vijana wa kibongo ni sikio la kufa,nowdays wanawachoma sindano za sumu unakuja kufa huku kama mzoga,nimemzika mwanangu juzi kati mwananyamala it pains a lot.

binti achana na hizo mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mtoto hakuna anayeweza kufanya hivyo huyo sio mwizi au jambazi.

Nimezaliwa na kukulia jela na bado dingi hajastaafu kwa hiyo kwetu bado ni jela na jela lenyewe linaweka wafungwa wanaosubiri kunyongwa! Guess what huwa nasikia tu kama unavyosikia wewe huko mtaani.

Puuza hizo habari, Tanzania ina strong penalty kwa drug dealers na wateja ila ni rahisi sana kuingiza na kuendesha biashara yako kaa ukijua hivyo tu habari sijui unachomwa sindano ya sumu sijui bla bla gani PUUZA
 
wewe ni sikio la kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikwambie kitu....nowdays hawaangaiki tena na mavifungo hayo maana wameona vijana wa kibongo ni sikio la kufa,nowdays wanawachoma sindano za sumu unakuja kufa huku kama mzoga,nimemzika mwanangu juzi kati mwananyamala it pains a lot.

binti achana na hizo mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Asipokusikia na kubadilisha njia zake basi unamuacha aendelee na ujanja wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom