Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Huyu Teresa Mendoza atawaponza sana mabint za watu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe huwa sio mzima unaumwa umasikini na ujinga na bahati mbaya sana ukawa mzaliwa wa Kigoma!!!
.
Iko siku yako, hivi vitu hakuna ambaye huwa anapanga vimtokee, na hata ukikikwepa kama wewe umeandikiwa kuishi jela hakika utaishi kwa namna yoyote.
Kuna kitu hakiko sawa kwako, Kigoma imetokeaje hapa?

Kama ni ndugu yako ama mtanzania mwenzetu kama kweli anahusika na huu upuuzi basi asikanyage hapa nchini
 
Kuna kitu hakiko sawa kwako, Kigoma imetokeaje hapa?

Kama ni ndugu yako ama mtanzania mwenzetu kama kweli anahusika na huu upuuzi basi asikanyage hapa nchini
Kwamba hatoweza kupitisha drugs?
AHahahaha
 
Unapenda watoto wako wauziwe madawa ya kulevya? Mfano huyu angefanikiwa unadhani ni vijana wangapi wa huku Kigoma wangeharibiwa maisha.
Grow up my fair lady
Uharibikiwe kwa kutumia cocaine? Wewe mzima kweli

Upuuzi upuuzi tu, na nikikuvutisha Methy au Hashishi si ndio utakuwa tahira kabisa
 
Hakuna anayeandikiwa kwenda jela...au kufanya uovu..kama ni hivyo tusinge hesabiwa dhambi na kusingekuwa na mahakama!

mbingu na moto tunachagua wenyewe....



Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe dini gani?
Mimi mkristo na sihesabiwi dhambi ukitaka mjadala karibu jukwaani kwangu jukwaa la dini.
 
Room yake wako watatu ila msosi ndio hivyo ni mwendo wa wali na mafenesi!😷
Just imagine Wali chakula cha taifa! Bongo wali ni mpaka sikukuu au itokee bahati mbaya shirika au kiongozi atoe mchele.

Muombeni serikali imlete anahamu ya kulala chini kwenye hall kama godown la mapopo
 
Hivi watanzania kwanini wanafiki kiasi hiki? Unabeba madawa halafu unasema hukupanga kikutokee? Mimi nasema aongezewe miaka huyo
Anajua alichokifanya hiyo ni defensive mechanism!

Kuuza unga kuna raha yake bwana asikwambie mtu na kukamatwa huwa kunatokea.
Ukitia akilini hilo you'll be nervous jiulize kapitaje JNIA

Yani pale unaweza kupita hata na KG 10 scanner yao isione, Askari wasikuhisi wala mbwa.

Alafu acha roho mbaya ombea apunguziwe kifungo
 
Wafuasi wa Kristo..ndio hawahesabiwi dhambi?

Basi Yesu alikufa bure maskini...

Au ndio kuokolewa kwa neema huko?
Hata ukiua.. kuzini.. kuiba.. nk
..bado hutahesabiwa dhambi pia?

Wewe dini gani?
Mimi mkristo na sihesabiwi dhambi ukitaka mjadala karibu jukwaani kwangu jukwaa la dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wewe ukifurahia haya, kuna mtoto wa mwenzako ambaye unamharibu kabisa na future yake inakuwa mbaya.

Kama unahusika kwa namna moja acha, la sivyo na wewe utakamatwa siku moja na kuozea huko.

Vijana wanaharibikiwa kisa mnatafuta mali kwa njia haramu na shortcut.
Njia ya haramu ni kuua tu boss!
Zingine zote ni legal way.

Asingepeleka huo unga si angefanya umalaya, umalaya si ungemzalia HIV?
Yani hilo dili lake lingetiki haki angekuwa mawinguni.

Alafu kabla mtu hajasafirisha madawa kwenda kokote huwa wanaangalia je nikikamatwa hiyo nchi ina penalty ya namna gani?
Mathalani Spain na France vifungo vyao romantic sana ila kukamatwa ni 95% out 100%.
Thailand, Taiwan ambako hela iko mingi wakikushika my friend umeisha na wakikufunga ni miaka 10 kwa grams na miaka hadi 99 kwa kilo.
 
Wakati wewe ukifurahia haya, kuna mtoto wa mwenzako ambaye unamharibu kabisa na future yake inakuwa mbaya.

Kama unahusika kwa namna moja acha, la sivyo na wewe utakamatwa siku moja na kuozea huko.

Vijana wanaharibikiwa kisa mnatafuta mali kwa njia haramu na shortcut.
Hao watoto walishikiwa BUNDUKI WAVUTE MADAWA KWA NGUVU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 18 tu, ingekua hata 50 ili wengine wajifunze waache tamaa. Usipende short cut kwenye maisha



"Not everything is for everybody"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom