mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,909
- 13,286
Unajua shida ukishakuwa tajiri unakuwa na tamaa ya kupata zaidi huwezi kukubali uonekane umefilisika wakati kuna watu hawana hata uhakika wa kula milo 3 kwa siku ila ukishakuwa tajiri huwezi kukumbuka haya ndio shida inapokuwa.Sana mkuu, usione mtu ana pesa na maisha mazuri mambo ni mengi, huyu mwamba nilikua namjua. Nawaza kwa nini asingeuza baadhi ya mali zake alipe madeni kama chanzo ni hicho.
Ndio maana wakati mwingine ukifikiria sana haya mambo utagundua kwamba kuwa tajiri ni risk.
Kuna siku kwenye uzi mmoja niliwahi kucomment kwamba maskini wengi wana furaha kuliko matajiri ila kuna watu hawakunielewa wakanipinga.