Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

Mkuu ukiwa na uhitaji wa pesa utaweka tu dhamana hasa kadi za gari wapo wengi wanafanya hivyo na inawezekana hata yeye alifanya hivyo.
Yeah kuweka dhamana ya gari moja au kiwanja kimoja sio tatizo wengi wanafanya ila shida ni pale inapotokea mkopo wa kwanza uliochukua haujakusaidia kisha unaenda kukopa tena na tena sehemu zingine
 
Nin
Matajiri hawalali kama wanavyolala maskini,maskini anaweza kulala hata vichakani au mlango wazi na hana wasiwasi lakini tajiri anamiliki jengo kubwa ndani ya geti kubwa lakini anaogopa kulala ndani kwa hofu ya kuvamiwa na majambazi,matajiri wengi hulazimika kukesha kwenye nyumba za starehe kama club,bar,casino kisha wanarudi nyumbani asubuhi wanajipumzisha kidogo masaa machache kisha wanakurupuka kuendelea na majukumu hii yote ni kuwapoteza maboya maadui na wahalifu wanaomuwinda.
Matajiri wanalazimika kuajiri walinzi binafsi na mabodyguard ili tu kupunguza uwezekano wa kudhuriwa na maadui au majambazi wakati maskini anazurura popote anapotaka muda wowote bila ulinzi wowote na hakuna anayemfikiria.
Ukija kwenye suala la mahusiano matajiri mahusiano yao huwa yanayumba kutokana na kukosa muda wa kushinda nyumbani muda wote anawaza ubunifu wa kuongeza maokoto pamoja na kukutana na wadau wapya wakati maskini ana muda mwingi mno wa kushinda na familia hivyo wake wa matajiri hushawishika kutafuta mwanaume wa kando hata kwa kumuonga ili kumridhisha na kufidia gepu lililoachwa na tajiri.
Hiyo ni mifano muchache tu ila mifano iko mingi mno.
Nimekuelewa mkuu utajiri dah! Blaa sana
 
Sikupingi ila watu wengi hata wakipitia magumu yanayohitaji hata ushauri wakawaida hawasemi. Wanafanya hivyo sio kwa sababu watu wa kuwashirika hawapo bali wanafanya hivyo kwa sababu wengi wanaogopa aibu
Kuogopa aibu mkuu ndio huko kuogopa judgement. Unampa mtu issue yako yeye anaifanya story na baada ya hapo anakutenga. Ndio maana watu wanajimaliza
 
Huu msemo wa kijinga sana.

Who is at the bottom? ? Are you competing? What's the prize? ?

BTW me nachojua tajiri ndo ana marafiki / watu wengi kuliko maskini. If there's anyone truly lonely ni maskini.

Yani mtu anyesema huo msemo hapo juu inamaana akikaa akiwaza utajiri wake anajiona amesimama kwenye mlima yuko juu juu zaidi, yuko pekeyake huko juu, who can be likened to this exceptional man at the top! !

Mtu wa hivi akitingishwa they lose themselves completely. Msingi wake ni utajiri wake, very shakey foundation.

Mmoja anajiua.

Mwingine ndo wale wako tayari kuua wengine just to maintain the status quo.

Mwingine halali bila vidonge / madawa / pombe.

Another falls into psychosis.

Kupenda status ni mtego.

It's not a competition guys, calm down. Damn.
Mkuu, tunapishana kuelewa mambo.

Kutokukubaliana jambo haimaanishi jambo hilo ni ujinga.

Ulivyoelewa / unavyoelewa na kulitafsiri hili haimaanishi vile ambavyo mimi nalielewa hili jambo, maana umenipa maelezo ambayo yapo nje kabisa na ninachokielewa mimi na ambayo sikuwa na uhitaji nayo.
 
Kwa dunia ya sasa ni rahisi watu wakakutoa uhai wakakuwekea mazingira ili uonekane umejinyonga.

Visingizio ni Madeni, Mapenzi, migogiro ya familia au biashara.
HILI NALO NI NENO MAANA WAPARE NI WATU WENYE UJASIRI WA KUTENDA MAMBO MAGUMU , MIOYO YA KUFANYA MAGUMU BILA AJABU HATA KUUZA NDUGU ANAWEZA , UNAWEZA SHANGAA MKE NDO KAKODI MI BAUNSA YA KUMNYONGA MME ILI IONEKANE KAJINYONGA , THEN IKATENGENEZWA , SCENARIO YA KUWA KAJINYONGA UKU KUMBE NI. KAZI YA MTU , THEN .......KI MADENI. YA TAASISI BENKI TUNAJIULIZA JE WATAWEZA IPIGA MNADA HIYO NYUMBA MAANA NI BONGE MOJA LA HEKALU....JUMBA FLANI HIVI LA KISHUA ....KISA NA MKASA NDANI YA BOMA KUNA KABURI LA. MTU !!!!!?!!!
 
Kuogopa aibu mkuu ndio huko kuogopa judgement. Unampa mtu issue yako yeye anaifanya story na baada ya hapo anakutenga. Ndio maana watu wanajimaliza
Bado sio sababu ya kujimaliza mkuu.
 
Yeah kuweka dhamana ya gari moja au kiwanja kimoja sio tatizo wengi wanafanya ila shida ni pale inapotokea mkopo wa kwanza uliochukua haujakusaidia kisha unaenda kukopa tena na tena sehemu zingine
Ni hatari mkuu hali ikishakuwa hivyo ni ngumu sana kuchomoka.
 
Dunia haoko fair....Tajiri kafariki jana mnataka tumchangie? Mbona maskini wenzetu hamtuhamasishi kuwachangia na ndio wanauhitaji zaidi?
Hao ni wazungu wameanzisha kuisaidia familia yake mkuu.
 
Back
Top Bottom