Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

Hapo ndo wakopeshaji wanaoneka watu wabay lakn wabay ni ss tunakimbilia fedha bila elimu ya fedha inatumaliza sanaa
Inasemekana baadhi ya wanaomdai wana kadi za gari zake, ila kuna baadhi ya watu wakikukopesha hutokaa ulipe mwisho wa siku wanachukua ulichoweka kama dhamana na mara nyingi huwa kina thamani zaidi ya kiasi ulichokopa.
 
Naogopa sana madeni,Huwa nalipa haraka sana nikiwa na deni, may be labda coz mimi sio mfanyabiashara thus why.
Wafanyabiashara wanapitia hali ngumu sana na wengi biashara wanaendesha kwa madeni
 
Bora hat watu binafs maan weng hawachukui au kushikilia dhaman lkn bado tu madeni ni madeni tu mkuu.
Mkuu ukiwa na uhitaji wa pesa utaweka tu dhamana hasa kadi za gari wapo wengi wanafanya hivyo na inawezekana hata yeye alifanya hivyo.
 
Unaamaini taarifa za polisi kwamba chanzo ni madeni?
Tanzania sasa hivi CHOCHOTE wanachosema polisi yetu MIMI huwa siamini unless niwe na habari za uhakika kutoka sources nyingine. Nasisitiza, CHOCHOTE kinachosemwa na polisi siku hizi huwa siamini. Polisi yetu siku hizi imekuwa kama kiwanda cha kupika uongo ili kuficha uhalifu.
 
Kabisa ,hao jamaa taarifa zao ni za kipuuzi sana na ngumu kuziamini maana zinakuwa na ukakasi mwingi sana.
 
IMG_20251004_081910.JPG
IMG_20251004_081942.JPG
 
Back
Top Bottom