Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,025
- 35,188
😀,Ni kweli ila katika vitu ambavyo tunapaswa kupuuza ni maneno ya watu,maana watu watakusema kwa kila jambo hata tu jinsi ulivyoumbwa achilia mbali unafanya niniKakwepa aibu za kusengenywa kuwa amefilisika si unawajua wamatumbi kwa kufuatilia maisha ya watu tena?