Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
- Thread starter
-
- #101
angekuwa kaokolewa na Yesu asingekufa?Inahuzinisha kuona jamaa kaondoka bila kuokolewa na Yesu, jina lake linaonyesha kafa akiwa kobaz.
adriz The Consigliere MOTOCHINI
Familia yake itamkumbuka daima
Wapo tu , ila wamatumbi tuna unafki mpaka ule wa kijinga jingaSijui maana sijawai ishi nao
Mikopo ni hatari sana hasa ukiwa huna plan nzuriUtajiri wa mikopo mwisho wake kujinyonga
Bado kijana mdogo sana bora angetafuta utajiri wa punje au majini
Apumzike kwa amaniFamilia yake itamkumbuka daima
Ndio maisha yakwetuWapo tu , ila wamatumbi tuna unafki mpaka ule wa kijinga jinga
Kupumzika atapumzika vipi tena wakati ameshakufa 😅Apumzike kwa amani
Usianzishe biashara yoyote kwa mikopo anza na ulichonachoMikopo ni hatari sana hasa ukiwa huna plan nzuri
Nimechukua hii mkuu kwanini?Usianzishe biashara yoyote kwa mikopo anza na ulichonacho
Tunaamini anaenda kupumzikaKupumzika atapumzika vipi tena wakati ameshakufa 😅
OkTunaamini anaenda kupumzika
Nachoamini na ndio uhalisia wa maisha kwa wengi ni kuwa unapopitia magumu na kuhitaji msaada mtu pekee wa kuweza kuwa nawe 100% ni wewe mwenyewe. Utakubaliana nami kama umeshawahi kupitia changamoto kubwa ya kifedha.
Tutafute hela sana hao wa kutoa msaada huenda na wao wana yao wanayokabiliana nayo kimya kimya ila tutawaangushia lawama bure kuwa hawawezi kusaidia.
Huu msemo wa kijinga sana.It's lonely at the top,
Sikupingi ila watu wengi hata wakipitia magumu yanayohitaji hata ushauri wakawaida hawasemi. Wanafanya hivyo sio kwa sababu watu wa kuwashirika hawapo bali wanafanya hivyo kwa sababu wengi wanaogopa aibuNi nature ya binadamu mkuu, sio kwamba hawana uwezo ila haupo katika priorities zao ndio maana mgonjwa anaweza kufariki kwa kukosa laki tano. Ila msiba wake watu watakula, kunywa na kusafirisha maiti hadi mikoani..
Na nilichoongelea kingine sio fedha tu. Watu wakipitia magumu hata wa kuwapa moyo wanakosekana. Kiufupi, ukiwa na shida pambana nazo mwenyewe ila pia watu wasilaumu watu kwa kuchukua maamuzi magumu na wakati wangeshirikishwa, wangewakimbia. Kiufupi, unafki tuache mkuu
Na pombe damu damuWale watuuu
Sasa uyo dogo si ndio ana anza shida kupokea ushauri kutoka kwa kila mtuLeopard alishawekeza sana kuyumba ni ngumu
Washauri mmexidiEndelea jidanganya kila biashara ina ubora wake na udhaifu wake mikoponi afya pia ila ikizidi ni balaa kubwa wako waliochukua mikopo mikubwa ila matumizi ni balaa....afya ya akili ndo changamoto
Ukitaka kujiua lazima uwafikirie watu wako wa karibu hasa watoto utawaacha kwenye huzuni ya namna gani. Ni bora ufe kwa ajali au ugonjwa watasema ni mapenzi ya mungu. Sasa ukijiua watasema umefanya makusudi kuwaacha, hawatapona kwa haraka.Kuna mda kujiua ni njia nzuri ya kutatua tatizo , watu walaumu mtu akishajiua ila wakishirikishwa matatizo wanakimbia hakuna msaada
Leopard ana mizizi mirefu kwenye hiyo biashara. Mimi tangu najua mema na mabaya Leopard yupo tena kwa ubora wa hali ya juu. Leopard na Ranger wakongwe mnoLeopard alishawekeza sana kuyumba ni ngumu
Sio lazima. Kuna mtu wangu wa karibu sana alikuwa na madeni mabaya hadi yakaanza kumwathiri kiafya ikabidi akate plots kwenye shamba lake na kuanza kuuza ili kulipa madeni. Na sasa hivi yuko safi hajafilisikaUkiona umeanza kuuza mali zako ulipe madeni jua unaenda kufilisika Yani kuchacha