Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai, Moshi, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Alhamisi, Oktoba 2, 2025, akidaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa awali umehusisha msongo wa mawazo uliotokana na madeni aliyokuwa akikabiliana nayo.

Msuya alikuwa akijihusisha na biashara ya kusafirisha watalii. Uchunguzi zaidi unaendelea.View attachment 3482567
Hata kama unakabiliwa na nini kujitoa uhai ni ushamba.
 
We live once we die once, watu wananchukulia poa kitu pesa kuimaintain ili usifilisike, wanaume huwa tunapitia wakati mgumu sana ada za watoto, maden benki bado stress za mke na ndugu lawama, ANYWAY KAWAachia mke kazi kwenu


Full stop, kwishaaaa
 
Back
Top Bottom